thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,113
Shirika la afya duniani limeonya kuhusu kuchanja watu kwa lazima.
Hii baada ya vurugu kubwa ya waandamanaji kutokea Ubelgjii.
Walikuwa wakiandamana kuelekea makao makuu ya umoja wa ulaya kupinga kulazimishwa kuchanjwa. Pia inasemekana kirusi kipya cha Micron, kilionekana ulaya kwa mara ya kwanza na si Afrika.
Angalizo
Chanjo isilazimishwe, iendelee kuwa ya hiyari, lakini elimu zaidi iendelee kutolewa, ili wananchi wafahamu faida ya kuchanja na hasara zake Kama mtu hatachanja.
MGODI WA DHAHABU WA GEITA GOLD MINE KWANINI UNALAZIMISHA CHANJO YA LAZIMA?
"UCHUNGUZWE"