Hakuna mtu asiyechanjwa ambaye anasafiri nje ya nchi yake sasa hivi.
Lakini kila siku sehemu mbalimbali duniani wanadakwa wageni wakiwa na maambukizi ya covid.
Huyo omicron wanasema katokea Africa na kuingizwa nchi zao na wasafiri toka huku.Sasa kama wanaosafiri wamechanjwa,na bado wanaeneza corona,whats the point of vaccination?kama huku kwetu Tz almost 90% hatujachanjwa na corona ilikuja waves zote nne imefifia kwa kinga hizi hizi natural,mnataka tuchanje ili iweje?we kama mgonjwa kachanje ujilinde ila usilazimishe mtu mwenye afya njema asiyehitaji boost ya kinga ukamwekee maartificial immunity,why?!hii ishu ya corona kuna agenda nyinginezo ndani yake.Tutapigana nawaambieni hachanjwi mtu hapa,stupid!nendeni mkawapige booster hao waliochanjwa wasiambukizwe tena kwanza ndio tutawaelewa kwa mbaaaaali vinginevyo hamna maana kuitia jamii yote makemikali ambayo hayana uhakika na kile kinachotibiwa.Mtaijaza miili na booster ngapi?!!huu ni upuuzi kabisa.Find one efficient vaccine ndio uje jukwaani watu tukuelewe,vinginevyo hii ni evil business from hell itself!