thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,113
Beberu, achunguzwe? Na nani? Ila inawezakana beberu mswahili akamchunguza beberu mweupe😂MGODI WA DHAHABU WA GEITA GOLD MINE KWANINI UNALAZIMISHA CHANJO YA LAZIMA?
"UCHUNGUZE ",
Tatizo huo mgodi kuna madaktari wabongo ndio wanaoshikilia bango la ulazimaBeberu, achunguzwe? Na nani? Ila inawezakana beberu mswahili akamchunguza beberu mweupe[emoji23]
Mnashindwa kuwaadabisha?Tatizo huo mgodi kuna madaktari wabongo ndio wanaoshikilia bango la ulazima
Inavyoonekana watu wanaosimamia ulazima wa kuchanja wana mandate zaidi ya wale wanaopinga.......wasiotaka mambo ya chanjo wamekuwa victim wa vita kubwa ya kiroho na kisaikolojia iliyo nyuma ya kampeni ovu ya chanjo ya lazima.....Mnashindwa kuwaadabisha?
Upo sahihi mkuuInavyoonekana watu wanaosimamia ulazima wa kuchanja wana mandate zaidi ya wale wanaopinga, wasiotaka mambo ya chanjo wamekuwa victim wa vita kubwa ya kiroho na kisaikolojia iliyo nyuma ya kampeni ovu ya chanjo ya lazima.
Subiri matokeo ya chanjo za kipumbavu mwilini mwako. Kwa koment yako inaonekana umeshachanjwa.. swali jepesi chanjo uliyonayo inakukinga na kirusi kipi! Delta au Omicron?,na kikija kirusi kipya kila mwaka utaendelea kuchoma hizo sumu? Wakati mwingine sio lazima uwe daktari kutumia Logic kwenye mambo ya msingi yanayohusu afya yako.Natamani sana watuletee chanjo lazima TZ, mleta mada na wenzako muandamane pia likiamriwa hilo kama wenzenu wa "Ubelegiji".
Nimechanja since April na ninadunda tu, na wakileta nyingine hata 100 nitachanja as long as zimethibitishwa na wataalamu wa Afya, siwezi kuwasikiliza vinjeketile na washirikina kama wewe! Na hapa TZ soon inakuwa hupati huduma muhimu bila chanjo, ikiwemo kutumia usafiri wa umma!! Tunawasubiri muandamane kama "Ubelegiji" ili maji myaite "mma"Subiri matokeo ya chanjo za kipumbavu mwilini mwako. Kwa koment yako inaonekana umeshachanjwa.. swali jepesi chanjo uliyonayo inakukinga na kirusi kipi!?.. Delta au Omicron?,na kikija kirusi kipya kila mwaka utaendelea kuchoma hizo sumu?.. Wakati mwingine sio lazima uwe daktari kutumia Logic kwenye mambo ya msingi yanayohusu afya yako.
Sumpiro mkubwa wee! You seem to be a pumpkin of no commercial value!Nimechanja since April na ninadunda tu, na wakileta nyingine hata 100 nitachanja as long as zimethibitishwa na wataalamu wa Afya, siwezi kuwasikiliza vinjeketile na washirikina kama wewe! Na hapa TZ soon inakuwa hupati huduma muhimu bila chanjo, ikiwemo kutumia usafiri wa umma!! Tunawasubiri muandamane kama "Ubelegiji" ili maji myaite "mma"
Acha ukinjeketile tahira wewe, mwezi ujao chanjo lazima jinga wewe, na tukuone unaandamana tukuvunje kalio hilo ukose mumeSumpiro mkubwa wee! You seem to be a pumpkin of no commercial value!
Na wewe kumbe ni MPUMBAVU kama wazungu. Hao wazungu wakitaka kufanikiwa labda walete wazungu wenzao Africa nzima kusimamia chanjo. Tunachofanya wajanja tunalipa kupata cheti kinachoonyesha tayari tumechanjwa na hiyo sumu inayohusu hicho cheti inamwagwa chini. Tunafanya hivi ili tuweze kusafiri tuonekane mafala Kama wewe boya uliyechanjwa hizo sumu kweli. Nimeshawalamba vichwa watu kibao kwa kuwaunganisha na manesi tena wengine ni viongozi. Nyie mbuzi wa kafara/majaribio endeleeni na huo ufala wenu. This is Africa my friend, wake up.Acha ukinjeketile tahira wewe, mwezi ujao chanjo lazima jinga wewe, na tukuone unaandamana tukuvunje kalio hilo ukose mume
Wanajua wanachokifanyaMGODI WA DHAHABU WA GEITA GOLD MINE KWANINI UNALAZIMISHA CHANJO YA LAZIMA?
Unaona ujanja kufanya wizi, utapeli na ujambazi? Kweli alivyo Baba mwana naye yupo hivyo hivyo, and lipumbavu kama wewe unalikuta humu jf linapiga kelele mafisadi mafisadi, wakati wewe mwenyewe ni tapeli, danganyifu, jizi na jinga numero oneNa wewe kumbe ni MPUMBAVU kama wazungu. Hao wazungu wakitaka kufanikiwa labda walete wazungu wenzao Africa nzima kusimamia chanjo. Tunachofanya wajanja tunalipa kupata cheti kinachoonyesha tayari tumechanjwa na hiyo sumu inayohusu hicho cheti inamwagwa chini. Tunafanya hivi ili tuweze kusafiri tuonekane mafala Kama wewe boya uliyechanjwa hizo sumu kweli. Nimeshawalamba vichwa watu kibao kwa kuwaunganisha na manesi tena wengine ni viongozi. Nyie mbuzi wa kafara/majaribio endeleeni na huo ufala wenu. This is Africa my friend, wake up.
Mkuu nakuhakikishia kwenye swala la kudungwa hizi sumu za COVID kwa watu wetu tutatumia namna yoyote na nakuhakikishia hii ni Africa nzima. Wazungu wanajionaga wajanja kumbe mafala tu kama wewe, hatuchanjwi na vyeti tutakuwa navyo na tutasafiri Kama kawa, haya ninayokwambia hata serikali inayajua na inayabariki. Mafala wachache ndo mtachanjwa hizo sumu.Unaona ujanja kufanya wizi, utapeli na ujambazi? Kweli alivyo Baba mwana naye yupo hivyo hivyo, and lipumbavu kama wewe unalikuta humu jf linapiga kelele mafisadi mafisadi, wakati wewe mwenyewe ni tapeli, danganyifu, jizi na jinga numero one
Hujui lolote kuhusu utaratibu wa kupata chanjo na cheti uliowekwa na Covax kwa kushirikiana na serikali ulivyo, kifupi haiwezekani kufanya hayo unayosema, utawadanganya wajinga wenzako, ni mpuuzi tu unaongea ongea hapa! BTW mimi sipo huko kwenye hayo maujinga ujinga yenu yaliyokuwepo, nchi ilipochukuliwa tu na MJINGA MWENZAKO nikasepa zangu, ila kwa sasa nitarudi sababu nchi inaongozwa na mtu SMARTMkuu nakuhakikishia kwenye swala la kudungwa hizi sumu za COVID kwa watu wetu tutatumia namna yoyote na nakuhakikishia hii ni Africa nzima. Wazungu wanajionaga wajanja kumbe mafala tu kama wewe, hatuchanjwi na vyeti tutakuwa navyo na tutasafiri Kama kawa, haya ninayokwambia hata serikali inayajua na inayabariki. Mafala wachache ndo mtachanjwa hizo sumu.