Shirika la Afya Duniani (WHO) lasema huenda Waafrika 190,000 wakapoteza maisha ndani ya mwaka mmoja kutokana na Corona

Shirika la Afya Duniani (WHO) lasema huenda Waafrika 190,000 wakapoteza maisha ndani ya mwaka mmoja kutokana na Corona

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema mlipuko wa CoronaVirus unaweza kusababisha vifo kwa Waafrika wapatao 190,000 ndani ya mwaka mmoja tangu uanze kama ukishindwa kudhibitiwa

Mkurugenzi wa WHO Afrika, Dkt. Matshidiso Moeti amesema kuna uwezekano COVID19 haitosambaa kwa kasi barani humo kama ilivyokuwa kwa mataifa mengine duniani

Mkurugenzi huyo amezitaka Serikali kuweka mikakati ya kupima CoronaVirus, kutafuta waliokuwa karibu na wagonjwa, kuwekwa walio na maambukizi karantini na vilevile kuwatibia

Awali WHO ilitabiri Waaafrika Milioni 29 hadi 44 wanaweza kupata COVID19 kwa mwaka mmoja na watu Milioni 5.5 wanaweza kuhitaji tiba Hospitali, idadi ambayo ni kubwa kuliko uwezo wa sekta za afya katika nchi nyingi

========

The novel coronavirus could kill as many as 190,000 people in Africa during the first year of the pandemic if containment measures fail, the World Health Organization warned on Thursday.

“While Covid-19 likely won’t spread as exponentially in Africa as it has elsewhere in the world, it likely will smoulder in transmission hotspots,” Dr. Matshidiso Moeti, the WHO Regional Director for Africa, said in a statement.

“Covid-19 could become a fixture in our lives for the next several years unless a proactive approach is taken by many governments in the region. We need to test, trace, isolate and treat.”
The WHO predicted that between 29 million to 44 million Africans could be infected in the first year. As many as 5.5 million of these people could require hospital treatment, a number that would overwhelm the medical capacity of most places on the continent.

A survey done in March of health services in Africa found an average of nine intensive care unit beds per 1 million people in 47 African countries.

“These would be woefully inadequate,” the WHO said.


Source: CNN
 
Wapeleke upumbavu wao mbele huko. Kila siku wanakuja na negative projection ambazo kwanza hazitimii.
Wamekuwa watu waliopoteza mwelekeo.
Pumbavu,.... walitupa week moja, tukatusua, wakatugea mwezi mmoja, tukatusua, sasa wanatugea mwaka mzima!?
Hivi mpaka huo mwaka kuisha huko Europe , America & Asia atabaki nani?

Mwafrika ni mtu halisi katika ulimwengu huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom