Shirika la Bima la Taifa kuingia barabarani kukagua bima za vyombo vya moto imekaaje?

Shirika la Bima la Taifa kuingia barabarani kukagua bima za vyombo vya moto imekaaje?

Dah, pole mkuu.. ila next day waulize uhalali wa wao kukagua Insurance na hayo mamlaka wametoa wap?
Ukileta ujuaji polisi atakushtaki kuendesha gari ambayo haijakatiwa bima 😃
 
Mdau alikujibu kwa dhana uliyosema bima fake zimekuwa nyingi. Hakuna Bima feki inayoweza kusoma kwenye mfumo wa TIRA. Makosa ya kawaida yanayofanyika katika Bima ni Under cutting hasa kwa magari ya Biashara, na Mwenyejukum la kufuatilia hilo ni TIRA na sio NIC maana hata wao Wanafanya makosa kama hayo.
Hata mim nimeshuhudia sana NIC wakiingia barabaran na Maofisa wa Polis kwa lengo la kukagua watu wasio na Bima kuwakatia papo kwa papo, Kwa upande wangu naona halina afya kabisaa maana inaondoa Fair Competition katika soko la bima. La Sivyo uruhusiwe kwa kila Kampuni kufanya hivyo.
Heyyouyoungman Umenena vyema mkuu👏
 
Nimevusha kama miezi mitatu hivi nkalipe bima sasa na naona sasa jamaa washaanza kuweka matochi yao barabarani grace period ishaisha.
 
Back
Top Bottom