Kwani nyinyi manunda wa Saccos mnauelewa wa haya mambo?
Raisi alishayataka haya mashirika kusamehe madeni na sio kukimbilia kutoa mikopo.
Sasa kwa sababu ya ununda wako hili jambo lilikupita kando.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nyinyi manunda wa Saccos mnauelewa wa haya mambo?
Hii nchi inaendeshwa kwa mikopo, wewe unasema alikataa mkopo jeuri hiyo ya kukataa anaitoa wapi.Kumbe loan, nilizani grant. Ndio aliokataa Magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app by My phone
Eti nabakia Africa.
Itakuwa IMF ndo wametengeneza corona ili tujifungue watukopeshe pesa, ni wajinga sana!😂Hapa pia kwenye hii mikopo ndio naona ile dhana ya kutusisitiza tuweke lockdown mwisho wa siku wanakuja na misaada yao kumbe nao wanataka wajidai wanasaidia ilihali wana kitu wanacho kilenga..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi hatuhitaji msaada wowote. Muda si mrefu mzigo toka Madagascar unaingia mjini ukijumlisha na nyungu mambo yako vizuri tu.
Waafrica sis tumelaaniwa ...yan unahis wew ni wa kusaidiwa kila siku..sasa kwa taarifa yako sis hatukuomba hzo pesa..na hzo pesa si bure ni mkopo mjomba..magu alishaongea kua haombi hzo hela...Nafikiri Sisi hatuko transparent ndo maana wametuchunia
Siyo mikopo huyo ni msaada hazirudishwi mkopo una riba na lazima uzirudishe sisi hatujaonesha jitihada zote zote zilizonesha kuwa tumepatwa na janga
Nyie nendeni mkakate miti pori mjifukize.
Umesoma habari yote au umeishia kwenye kiswahili tu?Siyo mikopo huyo ni msaada hazirudishwi mkopo una ribs na lazima uzirudishe sisi hatujaonesha jitihada zote zote zilizonesha kuwa tumepatwa na janga
Hahahahahaha kumbe mnazitamani pesa zao huku mnawaita mabeberu..Naamini kuna siku wataipa Tanzania mara mbili ya hizo za Kenya na Uganda... its just a matter of time
Toka lini IMF wakatoa grants?Kumbe loan, nilizani grant. Ndio aliokataa Magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app by My phone
Eti nabakia Africa.
mimi nimesema mkakate miti pori mjifukize, usinilishe maneno Comrade.Kwa nini?
Kwani wamepewa bure au wamekopeshwa?
Kina siku mnasema serikari inakopa deni linakuwa kubwa, leo mnazitaka tena hizo za mikopo, nyie ni mazombi nini?
usijidanganye hii nchi haijawahi jiongoza kwa pesa zake mkopo lazimaSisi tulitegwa kuanzia pale walipoanza kupewa za kupambana na corona na hapa pia tumetegwa, ila sio mbaya wakati mwingine kumuondoa mtoto nyumbani ajitegemee huwa ni vizuri zaidi maana kuna mfanya mtoto ajue jinsi ya kuendesha maisha yake vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app