hutaki mkopo je unajiweza??Waafrica sis tumelaaniwa ...yan unahis wew ni wa kusaidiwa kila siku..sasa kwa taarifa yako sis hatukuomba hzo pesa..na hzo pesa si bure ni mkopo mjomba..magu alishaongea kua haombi hzo hela...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtapewaje na haijulikani wangapi wanaumwa, wamepona au wamekufa? Mkuu baada ya kuona kazi ya maambukizi na vifo akapiga stop. Sasa hivi ukifa au kupona au kuugua ni wewe na Mungu wakoSisi tulitegwa kuanzia pale walipoanza kupewa za kupambana na corona na hapa pia tumetegwa, ila sio mbaya wakati mwingine kumuondoa mtoto nyumbani ajitegemee huwa ni vizuri zaidi maana kuna mfanya mtoto ajue jinsi ya kuendesha maisha yake vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hauko makini aisee, msaada? Anyway msaada wa kukopeshwa uko sahihi, lkn sio bure.Siyo mikopo huyo ni msaada hazirudishwi mkopo una riba na lazima uzirudishe sisi hatujaonesha jitihada zote zote zilizonesha kuwa tumepatwa na janga
Mzungu atakupa pesa kizembe? Unamjua Mzungu vizuri.Shirika la Fedha Duniani leo limeidhinisha fedha kwa ajili ya nchi za Kenya na Uganda.
Fedha hizi ni kwa ajili ya kusaidia kupambana na makali ya kiuchumi yaliyosababishwa na janga la Corona.
Kenya imepatiwa Dola za Marekani milioni 739 huku Uganda ikipewa Dola milioni 491.
======
View attachment 1442304
View attachment 1442307
The IMF on Wednesday approved a $739 million emergency loan for Kenya and $491.5 million for Uganda, as the East African countries deal with the coronavirus pandemic.
Both face severe economic shocks amid efforts to contain the spread of COVID-19, the Washington-based crisis lender said in announcing the latest fast-disbursing aid as it rushes to help countries deal with the economic impact of the outbreak.
More than 100 IMF members have sought emergency financing, and the fund has warned that the world's poorest countries are most at risk.
The funding will help Kenya "provide much-needed resources for fiscal interventions to safeguard public health and support households and firms affected by the crisis," IMF Deputy Managing Director Tao Zhang said in a statement.
The money for Uganda will aid the country's "urgent balance of payments and budget support needs," Zhang said.
The two countries will receive funds under the Rapid Credit Facility, which is aimed at the world's poorest nations and has been doubled in size to quickly dispense aid.
The coronavirus pandemic has caused business disruptions worldwide, with flights canceled and countries implementing strict border policies to keep out infected travelers, and the IMF warned Kenya's main economic sectors tourism, transportation and trade are imperiled.
"The impact of COVID-19 on the Kenyan economy will be severe. It will act through both global and domestic channels, and downside risks remain large," the IMF said.
Uganda is similarly threatened, and the government there has stepped up health spending, widening its deficit, which the IMF said is appropriate given the importance of stopping the virus.
"The global COVID-19 pandemic is expected to severely hit the Ugandan economy through several channels, with detrimental effects on economic activity and social indicators. The external and fiscal accounts are expected to deteriorate, creating substantial urgent external and fiscal financing needs," Zhang said.
Sisi Tanzania hatuhitaji mkopo! Hill Rais wetu aliliweka wazi. Kumbukeni huu siyo msaada, ni mkopo wenye riba . Ni mzigo wa deni juu ya mizigo ya madeni! Sisi tulisema kama kuna nchi au taasisi ya fedha inataka kutusaidia basi itusamehe baadhi ya madeni, au iahirishe kudai marejesho bila kuongezeka riba. Vinginevyo tutapambàna wenyewe!! Mungu yupo!!
Ni msaada huo?Acha kutetea ujinga bado tunahitaji misaada tena mingi,.
Sema mmenyimwa kwa ujeuri wenu, Yaani mwatukane then wawape masaada.. Mtakula Jeuri yenu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni emergency loan! Mzungu hatoagi pesa bure!! Wazungu wanafanya biashara ya pesa!! Kuna mampuyaya humu yanadhani ni msaada!Kumbe loan, nilizani grant. Ndio aliokataa Magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app by My phone
Eti nabakia Africa.
Kwan kiingereza kigumu namna hii😀😀Siyo mikopo huyo ni msaada hazirudishwi mkopo una riba na lazima uzirudishe sisi hatujaonesha jitihada zote zote zilizonesha kuwa tumepatwa na janga
Halafu japo ni mkopo bado watasimamia matumizi yake kwa gharama yako!!Itakuwa IMF ndo wametengeneza corona ili tujifungue watukopeshe pesa, ni wajinga sana!😂
Mkuu It is aSisi tulitegwa kuanzia pale walipoanza kupewa za kupambana na corona na hapa pia tumetegwa, ila sio mbaya wakati mwingine kumuondoa mtoto nyumbani ajitegemee huwa ni vizuri zaidi maana kuna mfanya mtoto ajue jinsi ya kuendesha maisha yake vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msamehe! Lugha ya malkia ni changamoto!Umesoma habari yote au umeishia kwenye kiswahili tu?