Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,241
Sisi hatusubiri makapi. Uwezo tunao, tutafika tu whether they like it or not.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah inawezekana, kwa sababu hatuna miradi mipya. Tunapambana na Corona kwanza.Kipindi hiki ndio tunaweza kujiendesha bila kukopa sio.
Endelea kujidanganya.Yeah inawezekana, kwa sababu hatuna miradi mipya. Tunapambana na Corona kwanza.
Hivi nyinyi manunda mnataka nini, tukikopa oh deni la Taifa imeongezeka, tukisha, oh Kenya na Uganda wamepata, kunakuwa kama mwanaume asiyejua anataka nini??Hahahahahaha kumbe mnazitamani pesa zao huku mnawaita mabeberu..
Hivi nyinyi manunda mnataka nini, tukikopa oh deni la Taifa imeongezeka, tukisha, oh Kenya na Uganda wamepata, kunakuwa kama mwanaume asiyejua anataka nini??Hahahahahaha kumbe mnazitamani pesa zao huku mnawaita mabeberu..
Hivi nyinyi manunda mnataka nini, tukikopa oh deni la Taifa imeongezeka, tukisha, oh Kenya na Uganda wamepata, kunakuwa kama mwanaume asiyejua anataka nini??Hahahahahaha kumbe mnazitamani pesa zao huku mnawaita mabeberu..
Usikwepe hoja mnazitamani pesa zao huku mnajifanya viburi na kuwaita mabeberu huku rohoni unaombea uonewe huruma, hahahahahahahaHivi nyinyi manunda mnataka nini, tukikopa oh deni la Taifa imeongezeka, tukisha, oh Kenya na Uganda wamepata, kunakuwa kama mwanaume asiyejua anataka nini??
Ndio uhalisia kuanzisha miradi kwa sasa ni kujitakia matatizo mengine wakati haya bado yanatukabili.Endelea kujidanganya.
Waziri wa fedha akiona hii comment atasikitika sana
Mbona una cheka kama .............., halafu key issue hapa ni kwamba kuna nunda moja wa Saccos alikuja kuturingishia etiKenya na Uganda, wamepata toka imf mamilioni kusaidia uchumi wao, ulioathirika kwa corona na kwakuwa watoto waziri, wakati sisi tumenyimwa kwa kuwa watoto watukutu.Usikwepe hoja mnazitamani pesa zao huku mnajifanya viburi na kuwaita mabeberu huku rohoni unaombea uonewe huruma, hahahahahahaha
😃😃😃😃😃Nyie nendeni mkakate miti pori mjifukize.
acha uongo tz inakopesheka kirahisi zaidi kuliko hata kenya , kenya inamzigo wa madeni imeshindikana hiyo nchi..Toka lini IMF wakatoa grants?
Siku zote world bank and IMF wanatoa Loan, maana ni taasisi za pesa zenye kufanya kazi zake kibenki zikipata faida kupitia riba. Tofauti ya hizi taasisi (IMF na World bank) na benki zingine za kibiashara iko kwenye riba na masharti. IMF na World bank wanakukopesha kwa riba nafuu na utalipa taratibu kwa muda mrefu lakini masharti yao ni mazito.
Wanaweza kukusamehe sehemu fulani ya deni wakiona huwezi kulilipa kwa wakati ili waweze kukukopesha tena.
Magufuli anajua kabisa kwa sasa hawezi kukopesheka kirahisi maana ana madeni makubwa, mwenendo wa kulipa unasusua na masharti ya kuweza kukopesheka hayawezi kuyatimiza ipasavyo.
acha uongo tz inakopesheka kirahisi zaidi kuliko hata kenya , kenya inamzigo wa madeni imeshindikana hiyo nchi..
tatizo la tz kweye swala la corona ni ujuaji wa kijinga wenzetu waliona hizi fursa za grants wakaweka mambo km wakubwa watakavyo ss ujuaji mwingi usio maana tunakosa mapata haya ya bure kizembe nigeria wao wamelamba bil. 3 dollars acha kabisa akili ni nywele na kila mtu anazake..
Tanzania na kenya wapi kuna deni kubwa?Magufuli anajua kabisa kwa sasa hawezi kukopesheka kirahisi maana ana madeni makubwa, mwenendo wa kulipa unasusua na masharti ya kuweza kukopesheka hayawezi kuyatimiza ipasavyo.
Unayajua masharti yake?tatizo la tz kweye swala la corona ni ujuaji wa kijinga wenzetu waliona hizi fursa za grants wakaweka mambo km wakubwa watakavyo ss ujuaji mwingi usio maana tunakosa mapata haya ya bure kizembe nigeria wao wamelamba bil. 3 dollars acha kabisa akili ni nywele na kila mtu anazake..
Ujue huo ni mkopo sio msaada
Maana nyie ni matajiri sana kuchukua mkopo ni kuifilisi IMFHalafu japo ni mkopo bado watasimamia matumizi yake kwa gharama yako!!
Kweli kabisa, maana hao IMF walitengeneza corona kwa ajili ya Tanzania ili tuwe masikini zaidi watukopeshe, hii ni vita ya kiuchumi kati ya Tanzania na mabeberu! Tulishawazidi kiuchumi ila sasa wanapambana kutushusha, namshukuru JPM mjanja sana ametusaidia hadi amefata dawa madagascar ya kufubaza(sio kuua since viral disease has no cure) maana madagascar hakuna tena wagonjwa wa corona hii dawa inasaidia (nakukumbusha wagonjwa wa corona madagascar wameongezeka)!Ndio maana hawana ha.u na jembe letu LA kazi Dr. Magufuli!! Walikuwa wanatuchezea kete ya lockdown kumbe mawazo yao ili uchumi ushuke waingie kingi kwa kutupa mkopo wa Dharula! Na ujue mkopo wa Dharula riba yake ni kubwa! Wawapata hao hao wasiojua kulicheza draft na mabeberu!