Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limetuhumu jeshi la Mali na kikundi cha kijeshi cha Urusi, Wagner, kwa kuhusika na mauaji ya jamii ya Fulani na kutoweka kwa wanaume wengine 81 tangu mwezi Januari 2025, Kwa mujibu wa HRW, matukio haya yalitokea wakati wa operesheni za pamoja dhidi ya makundi ya wanamgambo wa Kiislamu
HRW inasema kuwa makundi haya ya wanamgambo mara nyingi hujaribu kuwalenga na kuwahusisha vijana wa Jamii ya Fulani, jambo ambalo limeifanya jamii nzima kuwa shabaha ya operesheni za kijeshi. Wagner, licha ya kutotambuliwa rasmi na serikali ya Urusi, tayari imeshahusishwa na ukiukwaji wa haki za binadamu katika maeneo mengine duniani
Kutokana na hali hiyo, HRW imeitaka Umoja wa Afrika kuiwekea shinikizo serikali ya kijeshi ya Mali ili ichunguze tuhuma hizo kwa kina
====
At least 81 Fulani men, disappeared. Another dozen, executed
These are the accusations Human Rights Watch made against Mali's armed forces and the Russian Wagner Group, which has been operating on Malian territory supporting the armed forces for the past few years, on Tuesday
The NGO said that it documented at least a dozen Fulani men who were executed and 81 others who were forcibly disappeared by the Malian army and the Wagner group since January 2025
The alleged crimes happened during joint operations targeting Islamist militias
According to HRW, Islamist armed groups frequently attempt to recruit Fulani men
This has made the entire community a target for the Malian government.
The Russian Wagner Group, which is not officially supported by the Russian government, has been accused of crimes against the civilian population in several cases in the past
HRW called on the African Union to put pressure on Mali's military junta to investigate the allegations
Source: Human RIghts Watch & African news