Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL limekabidhiwa umiliki, usimamizi, uendeshaji na uendelezaji wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano pamoja na Kituo cha Taifa cha Kutunza taarifa chenye thamani ya zaidi ya Bilioni 450.
Pia, TTCL imekabidhiwa miundombinu ya Consortium kama sehemu ya Mkongo wa Taifa. Hatua hizo zimebadilisha mizania ya mahesabu kutoka kwenye hasara kwenda kwenye faida.
Aidha, Shirika limefanikiwa kuwa na watumiaji 1,657,843 wa huduma za mawasiliano na hivyo kuwa na umiliki wa asilimia 2 ya soko la huduma za mawasiliano ya simu za mkononi na asilimia 100 ya umiliki wa watumiaji wa simu zilizosimikwa mahali pamoja (fixed internet subscribers).
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama