Kadhalika, shirika la misaada la nchi ya Kiafrika inabidi lisaidie nje ya nchi husika pasipo kutegemea kurejeshewa fadhila
Kwa maelezo ya
Nguruvi3 aliyotoa hapo juu, hao unaowaita " watoa misaada nyangumi" wanakuwa na malengo mapana ya kusaidia interest za nchi zao( wanatoa msaada ambao watapata faida). Hivyo na sisi kama tunaamua kutoa msaada dagaa kwa lengo lile la watoa msaada nyangumi, kuna uwezekano wakumezwa mazima tutakapo rudi " kambini" inayotujumuisha na hao watoa misaada nyangumi.
Kwa maelezo hayo hapo juu, Mkuu, inabidi tuwekane sawa. Hili shirika linalokusudiwa litakuwa " purely non profit ama non interest" kwa Afrika au nalo litakuwa na lengo na kuinufaisha Afrika msingi ule wa USAID kwa Marekani!? Jibu la swali ni muhimu sana kutolewa kabla hatujaanza mikakati ya kuanzisha shirika lenyewe. Kwani bila jibu hili tunaweza kuchanganyana huko mbele wakati shirika limeishaanza na kupelekea matatizo makubwa kwa nchi washiriki.
Niulize kidogo kwenye organs za AU hakuna organ inafanya kazi kama hizi za shirika linalokusudiwa !? (Nimepata jibu la swali hili )
- - -
Policy Sub-Committee of the Special Emergency Assistance Fund for Drought and Famine Relief in Africa
Purpose
The Sub-Committee of the Special Emergency Assistance Fund for Drought and Famine Relief in Africa oversees all matters relating to the operation of the Fund of the same name. Its mandate includes to:
• Act as the supreme organ of the Fund
• Determine the Fund’s operational policy including the criteria for approval of loans and the terms and conditions for withdrawals from the Fund
• Approve administrative and other expenses related to the operation of the Fund
• Select beneficiary countries and decide on the amounts of grants and loans
• Initiate effective measures for mobilising resources for the Fund from both public and private sources and including African and non-African sources
• Make recommendations regarding the management and administration of the
Fund’s resources by the African Development Bank
• Make recommendations regarding the Statute of the Fund and its rules and operating procedures
• Report on its activities annually to the AU Executive Council in consultation with the Chairperson of the Commission.
Evolution
The Sub-Committee originated in the Lagos Plan of Action recommendation to establish
a Special Emergency Assistance Fund for Drought and Famine in Africa. In the mid-1980s, the Council of Ministers called for the Fund to become operational and the OAU created an interim policy committee to act as the supreme organ of the Fund, determine policy and draw up the criteria for approval of loans or grants from the Fund. The Interim Policy Committee became the Sub-Committee of Special Emergency Assistance when the AU was created.
au.int
- - -
Kwa hiyo tuna pa kuanzia baada ya kukamilisha uanzishwaji wa mashirika ya misaada ya nchi wanachama wa AU.