YEHODAYA JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 36,902 Reaction score 52,001 Oct 26, 2020 #1 Baada ya nchi za Zimbabwe, Uganda na Zambia kufungua anga zao zilizofungwa sababu ya Corona Shirika la Ndege la ATCL laanza safari zake za ndege kwenda Entebbe, Harare na Lusaka Karibuni tupae na Ndege alizotununulia Dkt. Magufuli
Baada ya nchi za Zimbabwe, Uganda na Zambia kufungua anga zao zilizofungwa sababu ya Corona Shirika la Ndege la ATCL laanza safari zake za ndege kwenda Entebbe, Harare na Lusaka Karibuni tupae na Ndege alizotununulia Dkt. Magufuli
kasulavenance JF-Expert Member Joined Jan 23, 2020 Posts 759 Reaction score 914 Oct 26, 2020 #2 Halafu utasikia mtu anasema hakuna cha maana Magu kafanya! Ukizoea umaskini mbaya!