Influenza
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,509
- 3,756
Shirika la Ndege la Kenya (Kenya Airways) limetangaza kusimamisha safari zake za kwenda Libreville, Gabon na Cotonou, Benin kuanzia Oktoba 14, 2019
Afisa Biashara Mkuu wa Shirika hilo amesema “Tumefanya utaratibu maalumu wa kuendelea kuhudumia Wateja waliokuwa wamekata tiketi baada ya Oktoba 14 kusafiri kuelekea maeneo hayo, kuhakikisha wanasafiri kupitia mashirika mengine yenye uhusiano na Kenya Airways.”
Shirika limeeleza kuwa uamuzi huo unaenda sambamba na mpango wake wa kuunganisha mtandao wake Ulimwenguni na kuhakikisha linahudumia wateja wake vizuri zaidi huku likiendelea kuzoea uhitaji wa kibiashara unaobadilika mara kwa mara
Siku chache zilizopita, Shirika hilo lilimpa likizo ya lazima Afisa Mkuu wa Fedha, Hellen Mathuka katika mwendelezo wa kuimarisha Kitengo hicho kinachopata wakati mgumu kutengamaa kutokana na hasara inayopatikana kwa miaka kadhaa
Aidha, Shirika hilo lenye madeni na linalopata hasara tangu mwaka 2014 huku likimilikiwa kwa 48.9% na Serikali na 7.8% na Shirika la ndege la Ufaransa-KLM, limetangwa kuwa litataifishwa ili kukabiliana na hali hiyo
********
Kenya Airways said Thursday it will be suspending its flights to Libreville in Gabon and Cotonou in Benin, effective on Oct. 14 as part of cost-cutting measures to enhance efficiency.
Ursula Silling, Kenya Airways chief commercial officer, said passengers traveling to the two destinations, beyond this date, will be rerouted or rebooked through its partner airlines.
“We have made the necessary arrangements to continue serving our customers who had made forward bookings through our existing cooperation with partner airlines to ensure no disruption to their travel,” said Silling in a statement issued in Nairobi.
He said the decision to suspend flights to Libreville and Cotonou is in line with the airline’s strategy to align its network worldwide.
Silling said the national carrier will continue to optimize its network in order to serve its customers better while adapting to the constantly changing market demand.
The move comes barely two months after the airline launched flights to Rome, Italy, and Geneva, Switzerland, in addition to the direct flights to the U.S.