Shirika la Ndege la Kenya lasimamisha safari zake za kwenda Libreville na Cotonou

Shirika la Ndege la Kenya lasimamisha safari zake za kwenda Libreville na Cotonou

Leta evidence Kq ilisimamisha wacha kudanganya watu with your nonsensical points
Hahahaha, hahahaha. Kweli njaa inasababisha akili haifanyi kazi. KQ ilipptangaza kusimamisha route ya USA wiki mbili tu baada ya kuanza kwake, wewe ulikua umelala Kibera au Mathare?
 
Yule mzee ataikamata tena mkuu...so lazima jiwe aogope
..angalau wao wamesema ukweli ni kwa nini wanakatisha safari kwenye hizo routes. Sio shirika moja lililokatisha safari zake kwenda nchi fulani kwa sababu ya xenophobia wakati mashirika mengine yote yanaendelea kwenda.
 
Jomba...eti genius by ccm standards...
Walai hii imenikosha...nimecheka sana
Utakuwa ume-improve sana. Kutoka kutojua weekdays ni zipi hadi kujua maana ya kujikomba! You are a genius by ccm standards.
At that rate baada ya muda utaanza kuelewa tofauti kati ya mbuzi na kuku.
 
Wacha kumdanganya mwenzako wewe...KQ inachnja mawingu hadi kw trump
1)Sharti kubwa na kumuachia routes shirika lingine ni kwamba hutorudi chini ya miaka 10

2)Katika biashara kila mmoja anaathirika tofauti, sio lazima wote wapate hasara au faida. Kama bado hujatengeneza mtandao wa kupata abiria, ni rahisi kuathirika kuliko mwenye mtandao mpana, ATCL ipo katika hatua za mwanzo za kujenga mitandao.

KQ ililazimika kusimamisha route ya USA kutokana na kukosa abiria, wakati Ethiopia Airway inaendelea na route hiyo kwasababu ET ina mtandao mkubwa. Umeelewa?
 
Heee!!kwhyo sai kq haiendi marekani[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha, hahahaha. Kweli njaa inasababisha akili haifanyi kazi. KQ ilipptangaza kusimamisha route ya USA wiki mbili tu baada ya kuanza kwake, wewe ulikua umelala Kibera au Mathare?
 
Kwa hiyo umekubaliana na maelezo yake? Ama kweli ujinga ni kipaji na kuwa ccm hii lazima uwe mpumbavu.
Hivi hujui ujinga wa hiki chama? Niliondoka baada ya kugundua eti ni lazima mwanaCcm uamini kila kinachosemwa na mwanaCCM mwenzio hata kama unajua ni cha kijinga.
 
Najua ile Ndege ya ATCL iliyokamatwa haijawahi kanyanga SADC(SA) Tena...once bitten twice shy na dawa la deni Ni kulipa
 
Jibu swali kwanza...kwhyo kq haiendi new york siku hz.....

Kula hii kwanza
Screenshot_20190920-143129_Opera%20Mini%20beta.jpeg
Screenshot_20190920-143157_Opera%20Mini%20beta.jpeg
 
Leta evidence kwanza, wacha mdomo
Hahahaha, hahahaha. Kweli njaa inasababisha akili haifanyi kazi. KQ ilipptangaza kusimamisha route ya USA wiki mbili tu baada ya kuanza kwake, wewe ulikua umelala Kibera au Mathare?
 
..angalau wao wamesema ukweli ni kwa nini wanakatisha safari kwenye hizo routes. Sio shirika moja lililokatisha safari zake kwenda nchi fulani kwa sababu ya xenophobia wakati mashirika mengine yote yanaendelea kwenda.
we ng'ombe kweli.
 
Hivi hujui ujinga wa hiki chama? Niliondoka baada ya kugundua eti ni lazima mwanaCcm uamini kila kinachosemwa na mwanaCCM mwenzio hata kama unajua ni cha kijinga.
sasa hivi uko wapi sasa maana bado unaumwa.
 
Poleni sana majirani... Sisi Tz tunaichukua hiyo route... ndege tuanzo na nia tunayo...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom