joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hahahaha, hahahaha. Kweli njaa inasababisha akili haifanyi kazi. KQ ilipptangaza kusimamisha route ya USA wiki mbili tu baada ya kuanza kwake, wewe ulikua umelala Kibera au Mathare?Leta evidence Kq ilisimamisha wacha kudanganya watu with your nonsensical points
..angalau wao wamesema ukweli ni kwa nini wanakatisha safari kwenye hizo routes. Sio shirika moja lililokatisha safari zake kwenda nchi fulani kwa sababu ya xenophobia wakati mashirika mengine yote yanaendelea kwenda.
Utakuwa ume-improve sana. Kutoka kutojua weekdays ni zipi hadi kujua maana ya kujikomba! You are a genius by ccm standards.
At that rate baada ya muda utaanza kuelewa tofauti kati ya mbuzi na kuku.
1)Sharti kubwa na kumuachia routes shirika lingine ni kwamba hutorudi chini ya miaka 10
2)Katika biashara kila mmoja anaathirika tofauti, sio lazima wote wapate hasara au faida. Kama bado hujatengeneza mtandao wa kupata abiria, ni rahisi kuathirika kuliko mwenye mtandao mpana, ATCL ipo katika hatua za mwanzo za kujenga mitandao.
KQ ililazimika kusimamisha route ya USA kutokana na kukosa abiria, wakati Ethiopia Airway inaendelea na route hiyo kwasababu ET ina mtandao mkubwa. Umeelewa?
Hahahaha, hahahaha. Kweli njaa inasababisha akili haifanyi kazi. KQ ilipptangaza kusimamisha route ya USA wiki mbili tu baada ya kuanza kwake, wewe ulikua umelala Kibera au Mathare?
Hivi hujui ujinga wa hiki chama? Niliondoka baada ya kugundua eti ni lazima mwanaCcm uamini kila kinachosemwa na mwanaCCM mwenzio hata kama unajua ni cha kijinga.Kwa hiyo umekubaliana na maelezo yake? Ama kweli ujinga ni kipaji na kuwa ccm hii lazima uwe mpumbavu.
Heee!!kwhyo sai kq haiendi marekani[emoji23][emoji23][emoji23]
Kula hii kwanzaKQ cuts New York flights as demand dips
Airline says cuts are part of normal operational decisions.www.nation.co.ke
joto la jiwe umeulizwa swali kuhusu code sharing na bado hujajibu ama Google imekuchanganya?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha, hahahaha. Kweli njaa inasababisha akili haifanyi kazi. KQ ilipptangaza kusimamisha route ya USA wiki mbili tu baada ya kuanza kwake, wewe ulikua umelala Kibera au Mathare?
we ng'ombe kweli...angalau wao wamesema ukweli ni kwa nini wanakatisha safari kwenye hizo routes. Sio shirika moja lililokatisha safari zake kwenda nchi fulani kwa sababu ya xenophobia wakati mashirika mengine yote yanaendelea kwenda.
we ng'ombe kweli.
sasa hivi uko wapi sasa maana bado unaumwa.Hivi hujui ujinga wa hiki chama? Niliondoka baada ya kugundua eti ni lazima mwanaCcm uamini kila kinachosemwa na mwanaCCM mwenzio hata kama unajua ni cha kijinga.
Umewajibu vizuri SanaAjibu ana wazimu
Umewajibu vizuri Sana