Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) linatarajia kuanza safari za kwenda Afrika Kusini

Papaa Muu

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2018
Posts
243
Reaction score
292
Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) linatarajia kuanza safari za kwenda Afrika Kusini, ambapo safari ya kwanza kweda Johannesburg itakuwa Julai 2019. Hii itakuwa safari ya tano ya kimataifa kuzinduliwa na ATCL ndani ya miaka 3, baada ya Harare, Lusaka, Entebbe na Bujumbura.
SHIUR
 
Na serikali isiwabugudhi wasafiri, to unnecessarily demand travel permits, acha watu wasafiri, watoe matongotongo
 
Issue sio wingi wa safari ata 100 zifike tu ila ziwe nafaida....wangekua wangeonyesha mafanikio ya safari za mwanzo kabla ya kuongeza zingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…