Papaa Muu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 243
- 292
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Issue sio wingi wa safari ata 100 zifike tu ila ziwe nafaida....wangekua wangeonyesha mafanikio ya safari za mwanzo kabla ya kuongeza zingineShirika la Ndege la Tanzania (ATCL) linatarajia kuanza safari za kwenda Afrika Kusini, ambapo safari ya kwanza kweda Johannesburg itakuwa Julai 2019. Hii itakuwa safari ya tano ya kimataifa kuzinduliwa na ATCL ndani ya miaka 3, baada ya Harare, Lusaka, Entebbe na Bujumbura.
View attachment 1074762SHIUR
Harare ndio wapi?Kadri wanavyoongeza safari,na hasara tutarajie zitaongezeka.