jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,012
Cheki Oman air hutajuta,bei kama route ya kwenda Mwanza,ila sina uhakika kama wanaenda US,kwa Europe ndio mkombozi wa wanyonge.Wapendwa kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza ,nauliza ni shirika lipi la ndege lina bei ya nauli nafuu zaidi kwa usafiri wa ndege kutoka jiji la Dar Es Salaam,Tanzania na kwenda moja kwa moja katika majiji ya New York au Boston au Washington DC na je nauli inarange katika USD ngapi kwa safari ya kwenda na kurudi. Ni hilo tu wapendwa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Bombardier Q-400. Chattle hadi New York nauli laki na nusu.
Hahaaampwaaaaa MPE FASTJET KABISAAA AENDE DIRChwki na ET ingawa mara ya mwisho nilitumia Etihad
Mkuu acha bas unaenda kuogea wapi kuondoa lile vumbi?Bombardier Q-400. Chattle hadi New York nauli laki na nusu.
swaaaaaaafi[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Simba 1-0jkt (hassan dilunga)
Sijui umemaanisha nini uliposema ''moja kwa moja'' lakini nakukumbusha kuwa hakuna ndege inayoondoka Dar To USA moja kwa moja. Pili unaposema ni shirika lipi lenye bei nafuu sidhani kama kuna jubu la moja kwa moja. Mimi nitakuambia inategemea. Leo unaweza kukuta tiketi ya wiki ijayo ya KLM iko cheap zaidi ya Emirates na keshokutwa ukakuta vise versa. Mimi ni msafiri mkongwe wa ndege na kitu nachoweza kukuambia ni kuwa ukishaamua safari yako ni siku fulani basi ingia kwenye kila website ya shirika husika uangalia bei. Huachajiwi chochote kwa ku-kusearch nauli. Kingine jaribu kutumia ''search engine'' ya kusafiri kwa ndege. Hii hukuletea nauli ya kila shirika na wewe unaamua utanunua tiketi gani. Ziko search engine nyingi kama Momondo nk. Kwa mfano jaribu kuingia hapa https://www.momondo.fi/ u-search utaona ninachomaanisha. Jambo jingine la kuzingatia ni kuwa usiangalia tu urahisi wa bei bila kuzingatia conditions za tiketi. Kuna tiketi nyingine ukiugua siku ya safari na ukashindwa kusafiri basi imekula kwako. Nyingine unakuta wanakuruhusu kubadisha tarehe ya safari. Na nyingine unakuta gharama ya kubadilisha ni kama kununua tiketi mpya. Haya yote ni ya kuzingatia.Wapendwa kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza ,nauliza ni shirika lipi la ndege lina bei ya nauli nafuu zaidi kwa usafiri wa ndege kutoka jiji la Dar Es Salaam,Tanzania na kwenda moja kwa moja katika majiji ya New York au Boston au Washington DC na je nauli inarange katika USD ngapi kwa safari ya kwenda na kurudi. Ni hilo tu wapendwa.
Nijuavyo mimi, shirika la bei nafuu ni Etihad Airways lakini kinachofanya gharama za ndege ziwe juu au chini ni:-
1. Kuwahi kukata tiketi mapema hupunguza nauli
2. Kuchelewa kukata tiketi husababisha nauli iwe juu.
3. Msimu ambao kuna abiria wengi husababisha nauli ziwe juu na msimu ambao siyo season ya abiria wengi husababisha nauli ya ndege ipungue.
Nadhani utakuwa umenielewa ndugu mtoa mada.
Ahsante sana
Aiseee chalii yangu Bangladesh airlines, Haiti Airways na Central Africa Republic AirwaysWapendwa kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza ,nauliza ni shirika lipi la ndege lina bei ya nauli nafuu zaidi kwa usafiri wa ndege kutoka jiji la Dar Es Salaam,Tanzania na kwenda moja kwa moja katika majiji ya New York au Boston au Washington DC na je nauli inarange katika USD ngapi kwa safari ya kwenda na kurudi. Ni hilo tu wapendwa.
Mpwa umeadimika sana nakuona kwenye thread ya betting tu!!Hahaaampwaaaaa MPE FASTJET KABISAAA AENDE DIR
Mpwa u
Mpwa umeadimika sana nakuona kwenye thread ya betting tu!!
MPWAAAA NIPOO SI UNAONAAA UTEUZII BILA PHD IKABIDI NIENDELEE KISOGO KIDOGO LABDA KAUPEPO CHA BAANA MKUBWA KATANIKUTAA WAZIMA WOTE
Bold
Wapendwa kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza ,nauliza ni shirika lipi la ndege lina bei ya nauli nafuu zaidi kwa usafiri wa ndege kutoka jiji la Dar Es Salaam,Tanzania na kwenda moja kwa moja katika majiji ya New York au Boston au Washington DC na je nauli inarange katika USD ngapi kwa safari ya kwenda na kurudi. Ni hilo tu wapendwa.