jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,012
Cheki Oman air hutajuta,bei kama route ya kwenda Mwanza,ila sina uhakika kama wanaenda US,kwa Europe ndio mkombozi wa wanyonge.Wapendwa kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza ,nauliza ni shirika lipi la ndege lina bei ya nauli nafuu zaidi kwa usafiri wa ndege kutoka jiji la Dar Es Salaam,Tanzania na kwenda moja kwa moja katika majiji ya New York au Boston au Washington DC na je nauli inarange katika USD ngapi kwa safari ya kwenda na kurudi. Ni hilo tu wapendwa.