Shirika la Posta linazindua huduma ya Pamoja (One Stop Center)

Shirika la Posta linazindua huduma ya Pamoja (One Stop Center)

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
📍 Taarifa📍

Katibu Mkuu wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari @wizaraMTH Dkt. Zainab Chaula anawakaribisha kwenye uzinduzi wa vituo vya HUDUMA PAMOJA(ONE STOP CENTER) Utakaofanyika jijini Dar es salaam tarehe 06/09/2021 saa 5:30 Asubuhi kwenye viwanja vya @posta_tz

IMG_20210903_074416_434.jpg

IMG_20210903_074416_513.jpg
 
Huu upuuzi wa kudhani kila mtanzania anaishi Dar unasumbua wengi. Mashirika ya umma yanajifia kwa kuendekeza u-dar kuliko utanzania
 
One step centre for what!tangazo limetoa kipaumbele kwa sura ya huyo mama Katibu mkuu!

Nini Cha upekee kumuhusu?Bora wangeweka kazi za hizo stop centre,hili shirika ni Sawa na bibi kikongwe
 
📍 Taarifa📍

Katibu Mkuu wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari @wizaraMTH Dkt. Zainab Chaula anawakaribisha kwenye uzinduzi wa vituo vya HUDUMA PAMOJA(ONE STOP CENTER) Utakaofanyika jijini Dar es salaam tarehe 06/09/2021 saa 5:30 Asubuhi kwenye viwanja vya @posta_tz

View attachment 1921713
View attachment 1921714
Uzinduzi uendane na kasi ya huduma wanazotoa.
 
Nawapongeza na kuwatakia kila la kheri Posta kwa uzinduzi wa VITUO VYA SIMA MOJA (One Stop Centres) unaotegemea kufanyika.
 
One stop centre (mnaendekeza mkusanyiko zama za Korona?) Bora mngeenda Digital
 
Hudhuria kwenye uzinduzi upate kuelewa tafadhali.
Watu tuna parcel zetu toka ng'ambo tracking no zinaonyesha zimeingia nchini tokea wiki iliyopita ila ukienda kuulizia posta hamna kitu afu wanatuletea huu upuuzi wao.
 
Labda itatupunguzia kadhia ya kwenda Posta Mpya kila mara kufuata vifurushi kutoka nje
 
Back
Top Bottom