Muuza Unga
Member
- Aug 15, 2018
- 28
- 24
Watanzania wenzangu, sijui kama kweli mnanufaika ipaswavyo na hili shirika letu. Limebaki kuwa shirika la kuandaa mashindano ya insha mashuleni yaani upande wa biashara mimi naona ni upuuzi mtupu.
Mfano: Nmekuwa nikiagiza vitu toka China na nchi nyingine za Asia kwa mitandao ya Ali express na Ebay, unapoagiza bidhaa unakuwa na uwezo wa kuitrack ile bidhaa nakujua iko wapi, sasa unakuta mzigo umeagiza tarehe 10, inafika tarehe 17 mzigo tayari upo Bongo, Posta wanachukua ule mzigo wanauweka pale kwao Offisini, wanakaa na mzigo huo hata siku 40 wakiamua kutuma kwa address husika huko mkoani let say Arusha au Moshi siku ya 41 hakuna mtu anawasumbua
Sasa kwa staili hii huo uchumu wa kati tutaufikia lini? Mbona mchina ame play part yake siku chache tu mzigo umefika?
Nimekaa nikafikiri sana, utakuta kule wamejaza mtoto wa shangazi na mtoto wa mjomba, makanjanja wengi sana nchi hii, acheni ubabaisaji aisee, tunatumia pesa, muda, nyie mnakaa ofisini na vitu vyawatu,
UCHUMI WETU HAUWEZI KUA KWA MNAVYOFANYA SASA.
BADILIKENI.
Sent using Jamii Forums mobile app