Shirika la Posta Tanzania na ubabaishaji katika biashara za Kimataifa

Muuza Unga

Member
Joined
Aug 15, 2018
Posts
28
Reaction score
24
Watanzania wenzangu, sijui kama kweli mnanufaika ipaswavyo na hili shirika letu. Limebaki kuwa shirika la kuandaa mashindano ya insha mashuleni yaani upande wa biashara mimi naona ni upuuzi mtupu.

Mfano: Nmekuwa nikiagiza vitu toka China na nchi nyingine za Asia kwa mitandao ya Ali express na Ebay, unapoagiza bidhaa unakuwa na uwezo wa kuitrack ile bidhaa nakujua iko wapi, sasa unakuta mzigo umeagiza tarehe 10, inafika tarehe 17 mzigo tayari upo Bongo, Posta wanachukua ule mzigo wanauweka pale kwao Offisini, wanakaa na mzigo huo hata siku 40 wakiamua kutuma kwa address husika huko mkoani let say Arusha au Moshi siku ya 41 hakuna mtu anawasumbua

Sasa kwa staili hii huo uchumu wa kati tutaufikia lini? Mbona mchina ame play part yake siku chache tu mzigo umefika?

Nimekaa nikafikiri sana, utakuta kule wamejaza mtoto wa shangazi na mtoto wa mjomba, makanjanja wengi sana nchi hii, acheni ubabaisaji aisee, tunatumia pesa, muda, nyie mnakaa ofisini na vitu vyawatu,

UCHUMI WETU HAUWEZI KUA KWA MNAVYOFANYA SASA.
BADILIKENI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongelea hizo ofisi alizoziacha mkoloni
Yaani kwingine mpaka zile saa za kenzle bado zipo

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Wanakera sana hususani Arusha post office kuna mdada anaitwa Ruth ana majibu ya kijinga sana na kwa nyodo as if unaomba msaada! Mzigo unautrack kuanzia ulikotoka fresh kabisa ukifika bongo ndio mwisho wa kutrack na ukiwauliza aanasema mzigo hauonekani kwenye system hovyo sana hawa jamaa!
 
UCHUMI WETU HAUWEZI KUA KWA MANAVYOFANYA SASA.
BADILIKENI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mh sidhani Kama madai yako yanaukweli !!!
Nakubaliana nawe ucheleweshaji upo ila si kwa kiwango hicho boss
 
Hakuna plan B.? Maana huwa sipendi kuhangaika na mandondocha
 
Wanakera sana hususani Arusha post office kuna mdada anaitwa Ruth ana majibu ya kijinga sana na kwa nyodo as if unaomba msaada! Mzigo unautrack kuanzia ulikotoka fresh kabisa ukifika bongo ndio mwisho wa kutrack na ukiwauliza aanasema mzigo hauonekani kwenye system hovyo sana hawa jamaa!
Pelekeni malalamiko makao makuu
 
Watanzania wenzangu, sijui kama kweli mnanufaika ipaswavyo na hili shirika letu. Limebaki kuwa shirika la kuandaa mashindano ya insha mashuleni yaani upande wa biashara mimi naona ni upuuzi mtupu.

Mfano: Nmekuwa nikiagiza vitu toka China na nchi nyingine za Asia kwa mitandao ya Ali express na Ebay, unapoagiza bidhaa unakuwa na uwezo wa kuitrack ile bidhaa nakujua iko wapi, sasa unakuta mzigo umeagiza tarehe 10, inafika tarehe 17 mzigo tayari upo Bongo, Posta wanachukua ule mzigo wanauweka pale kwao Offisini, wanakaa na mzigo huo hata siku 40 wakiamua kutuma kwa address husika huko mkoani let say Arusha au Moshi siku ya 41 hakuna mtu anawasumbua

Sasa kwa staili hii huo uchumu wa kati tutaufikia lini? Mbona mchina ame play part yake siku chache tu mzigo umefika?

Nimekaa nikafikiri sana, utakuta kule wamejaza mtoto wa shangazi na mtoto wa mjomba, makanjanja wengi sana nchi hii, acheni ubabaisaji aisee, tunatumia pesa, muda, nyie mnakaa ofisini na vitu vyawatu,

UCHUMI WETU HAUWEZI KUA KWA MANAVYOFANYA SASA.
BADILIKENI.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna mambo mengi watu wa Posta wanahitaji kuwa nayo.

Kwanza ni exposure, yaani kuwa na training nje kufahamu shughuli za posta zinaendeshwa vipi kitaalam na kwa teknolojia za kisasa.

Pili. masuala ya logistics yaani ugavi wa hivyo vifurushi pale vinapoifika posta husika ni muda gani vinakaa na ni muda gani vitakuwa njiani kwenda posta hadi posta hadi kumfikia mteja.

Tatu, kwenye hili la logistics kunahitajika ufunuo kwa watanzania wengi kuchangamkia hilo yaani kufanya shughuli za couriers na despatch kwa uharaka zaidi.

Kwenye hilo la despatch na couriers kunahitajika vitendea kazi mbalimbali vikiwemo vya usafiri kama pikipiki na gari ndogo za kuzunguka mjini au gari kubwa la kusukuma vifurushi mikoani au ndege ya kupelekwa kwa muda mfupi zaidi.

Hivyo haya yote ni kwa waziri husika kukaa chini na makampuni haya na kupanga namna ya kujikomboa kimawazo maana bado tupo nyuma sana kwenye hili eneo ambalo bado tawaweza kuita ni "untapped sector"
 
Mkuu hawapo kibiashara zaidi
Huwa najiuliza sio posta tu sehemu nyingi sana huwa customer services ni mbovu sana yaani sijui huwa tunamkomoa nani

Miaka ya nyuma nilituma documents za muhimu sana na nilizifuatilia mpaka post ya Dar
Bahati mbaya alieziendea aliambiwa hazijafika wakati huku wanasema 100% zimepokelewa
Eti wananiambia ulipwe compensate nikawaambia ni priceless hizo documents na siwezi kupata original zote iliniuma sana kwa kweli
Na sikutumia tena huduma zao
Yaani document wakafikiri kuna $ duu

Hili shirika ni UOZO MTUPU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania wenzangu, sijui kama kweli mnanufaika ipaswavyo na hili shirika letu. Limebaki kuwa shirika la kuandaa mashindano ya insha mashuleni yaani upande wa biashara mimi naona ni upuuzi mtupu.

Mfano: Nmekuwa nikiagiza vitu toka China na nchi nyingine za Asia kwa mitandao ya Ali express na Ebay, unapoagiza bidhaa unakuwa na uwezo wa kuitrack ile bidhaa nakujua iko wapi, sasa unakuta mzigo umeagiza tarehe 10, inafika tarehe 17 mzigo tayari upo Bongo, Posta wanachukua ule mzigo wanauweka pale kwao Offisini, wanakaa na mzigo huo hata siku 40 wakiamua kutuma kwa address husika huko mkoani let say Arusha au Moshi siku ya 41 hakuna mtu anawasumbua

Sasa kwa staili hii huo uchumu wa kati tutaufikia lini? Mbona mchina ame play part yake siku chache tu mzigo umefika?

Nimekaa nikafikiri sana, utakuta kule wamejaza mtoto wa shangazi na mtoto wa mjomba, makanjanja wengi sana nchi hii, acheni ubabaisaji aisee, tunatumia pesa, muda, nyie mnakaa ofisini na vitu vyawatu,

UCHUMI WETU HAUWEZI KUA KWA MNAVYOFANYA SASA.
BADILIKENI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chagua msafirishaji" carriers" watakao kufikishia paseli haraka.
Kuna Dhl.FedEx. UPS. Aramex.
Posta sio Shemeji yako . Dunia ya sasa ina mbadala mwingi sana. Bure ghali.
Napokea paseli kupitia dhl lakini nalipa hela nyingi kiasi.
Usichague free shipping au standard shipping.
Epuka pia kuagiza mizigo Seol Korea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe halijakukuta

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu yawezekana ni mmoja wao. Watu tumeacha hata kuandikia barua wazazi na ndugu. Ukijaribu tuma post card ya noel au pasaka haifiki maana wanafungua kuona kama umeweka pesa halafu wanatupa. Unapopiga simu kuulizia nyumbani wanasema haikufika. Tuliishaacha kuwatumia. Heri nipate hasara niende DHL kuliko hawa majizi wanaiba hadi senene?
 
Haya mambo ndiyo yanayonifanya niamini kwamba ule usemi wa uchumi wa viwanda ni utapeli na ulaghai.

Utawezaje kuufikia na kuongoza uchumi wa viwanda wakati mashirika yako ya umma yamekushinda kuendesha katika ufanisi unaotakiwa katika uchumi wa viwanda.
 
Chagua msafirishaji" carriers" watakao kufikishia paseli haraka.
Kuna Dhl.FedEx. UPS. Aramex.
Posta sio Shemeji yako . Dunia ya sasa ina mbadala mwingi sana. Bure ghali.
Napokea paseli kupitia dhl lakini nalipa hela nyingi kiasi.
Usichague free shipping au standard shipping.
Epuka pia kuagiza mizigo Seol Korea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mara nyingi nimeingia ebay.. Mbona huwa sipati option ya hao carrier wengine!?? Ww huwa unafanyeje?
 
Kule kwenye forum ya Technology. Science kuna thread ya" Jifunze kununua bidhaa online'" Wabobezi wanatoa elimu mubashara.
Free shipping au standard mara nyingi haina tracking number.
Ukienda postal watakuomba tracking number. Sometime ukiwa na track number jiunge 17track inaonesha usahihi Wa safari ya mzigo wako.
Ukifika bongo unaona.na hapo watu wa Posta watakuelekeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom