Shirika la Reli Tanzania (TRC) laomba radhi kutokana na kuchelewa kwa safari kulikosababishwa na changamoto zilizo nje ya uwezo wao

Shirika la Reli Tanzania (TRC) laomba radhi kutokana na kuchelewa kwa safari kulikosababishwa na changamoto zilizo nje ya uwezo wao

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Treni ya Mwendokasi inayofanya safari zake Dar es salaam - Dodoma, ilisimama kwa saa kadhaa maeneo ya Ngerengere usiku wa kuamkia leo September 10,2024 na baadhi abiria wakajirekodi video wakionesha kuwa wamesimama katika eneo hilo.

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeomba radhi kwa abiria kutokana na kuchelewa kwa safari kulikosababishwa na changamoto zilizo nje ya uwezo wao ambapo wamesema sababu ya kusimama huko ni pamoja na kusubiri kupishana na treni iliyokuwa ikitoka Dar es salaam kuelekea Morogoro.

Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano-TRC, Jamila Mbarouk ameiambia kuwa “Baadae changamoto zilitatuliwa na huduma za usafirishaji ziliendelea kutolewa TRC inaomba radhi kwa changamoto zinazojitokeza na inaahidi kuendelee kuzifanyia kazi”

Pia soma:
 
Train ya umeme imesimama rasmu hakuna anayejali pesa zinapigwa na watu wanasepa.

Kigambo ferry, pantoni nazo no tatizo hakuna anayejali unaweza kwenda kivukoni ukakaa masaa mawili wanasema vineharibika na hakuna anayejali kabisa.

Utekaji ndo usiseme umeshika kasi.
 
Tuko bize kutangaza ushindi wa kishindo kwa chaguzi zilizoko mbele yetu hayo mengine yasubiri kwanza.
 
Mambo yanaendelea kama kawaida na hakuna kilichosimama mana hakuna kitu kinachotokea kwa bahati mbaya, kila kitu kimepangwa kuwa hvy
 
Train ya umeme imesimama rasmu hakuna anayejali pesa zinapigwa na watu wanasepa.

Kigambo ferry, pantoni nazo no tatizo hakuna anayejali unaweza kwenda kivukoni ukakaa masaa mawili wanasema vineharibika na hakuna anayejali kabisa.

Utekaji ndo usiseme umeshika kasi.
Uonavyo wewe ni tofauti wanaovyo wao
 
Nikweli mkuu, hadi nchi imesimama
 
Attachments

  • downloadfile-23.jpg
    downloadfile-23.jpg
    39.6 KB · Views: 4
Train ya umeme imesimama rasmu hakuna anayejali pesa zinapigwa na watu wanasepa.

Kigambo ferry, pantoni nazo no tatizo hakuna anayejali unaweza kwenda kivukoni ukakaa masaa mawili wanasema vineharibika na hakuna anayejali kabisa.

Utekaji ndo usiseme umeshika kasi.
When the going gets tough, the tough get going, ukiona mambo yanaenda ndivyo sivyo tafuta suluhisho, vinginevyo utaendelea kukwama, natoa pole kwa waliokuwa wamekwama ndani ya treni ya umeme huko Morogoro kwa mujibu wa bandiko la jana usiku humu jf, kibaya zaidi kulitokea vuta ni kuvute na wahudumu waliogoma kufungua milango
 
Back
Top Bottom