Shirika la Taifa la Bima ya maisha (NIC) lipeni fedha za wateja wenu

Shirika la Taifa la Bima ya maisha (NIC) lipeni fedha za wateja wenu

Mniombee

Member
Joined
Dec 14, 2018
Posts
43
Reaction score
95
Shirika hili linakiuka kwa kiasi kikubwa mikataba na makubaliano walioafikiana na wateja wao hasa ihusuyo malipo ya fedha za bima zilizoiva.

Jambo hili si zuri na halikubalikiki hata kidogo maana linatengeneza taswira ya ulaghai kwa wateja wenu ukizingatia hili ni shirika la umma.

Mamlaka zinazohusika tunaomba mlitizame jambo hili kwa mapana yake.

Ujanja ujanja si uungwana.
 
Dah....shirika limejaa vilaza....waongo waongo....wasiojali wateja.... Bora lijifie tu....Mimi malipo yangu nimeyasamehe yawasaidie kununua mawigi mengine...naingia mkataba na makampuni binafsi...yenye akili yanayojali wateja

USHAURI: KAMWE USIINGIE MKATABA NA NIC...UTAJILAUMU BAADAYE 🤭
 
Back
Top Bottom