Rich Dad
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 748
- 135
Kwa wajasiriamali wenzangu salaam!
Kama ilivyoada ya kupashana habari, nimeona niwajulishe kuhusu hili shirika la Tatedo kwenye nishati mbadala.
Wanatengeneza majiko nafuu ambayo ni msaada kwa sehemu za vijijini.
Sifahamu kama wana teknolojia nyingine kama ilivyo SIDO. Nimeona kipindi chao kimerushwa na TBC1 leo jioni tarehe 13 August 2011.