Hahaha unajua mwenyewe nimeishia kucheka tu!!****Tume ya Uchaguzi**** Shirika= Corporation.
Nilijua umefanya kwa bahati mbaya kwenye kichwa cha habariIndependent Electoral and Boundaries Commission(IEBC)
May 24 at 1:20pm ·
Commissioner Roselyne Akombe takes a Kenyan voter in Arusha through the verification. This is the technology we will use to check-in voters on 8/8 [HASHTAG]#VerifyYourDetails[/HASHTAG]
NI VIZURI KUONA SHIRIKA LATAYARISHA WAPIGA KURA KWA NCHI MAJIRANI KAMA TANZANIA. LAKINI USA WALIWEKA VITUO VITATU KWA waKENYA WOTE NCHI KUBWA Kama U.S, HAPA NI DHULUMA!!!
Haya tumekuskia, akhsanteKusudi tu,Wana povu watakujaje kwa uzi ukikaa kisawasawa kaka!!!!??
Tume, Shirika...whats the big deal? bora ameeleweka.....broken english yenu huwa hata haieleweki...heri mzungumze kiswahili
Kiswahili chenyewe hujui acha ufundishweUnayo akili timamu kaka nijifunze Kiswahili kutoka kwako. Malimwengu hayo!!!! Sikuihitaji Wala sioni ukihitijika Ila tu kwa kutoa povu pekee hapa JF. Sawa!!!!!
= tafsiri.Sio Na danganyika kaka!!! Tena Kiswahili nenda kafanya uchunguzi wa kwako toka tafsili Google kwenda BBC wakenya ndio watengeza hela Na hicho Kiswahili.