SHIRIKA LA UCHAGUZI KENYA(IEBC) 2017

SHIRIKA LA UCHAGUZI KENYA(IEBC) 2017

waltham

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
2,522
Reaction score
1,045
Independent Electoral and Boundaries Commission(IEBC)
May 24 at 1:20pm ·
Commissioner Roselyne Akombe takes a Kenyan voter in Arusha through the verification. This is the technology we will use to check-in voters on 8/8 [HASHTAG]#VerifyYourDetails[/HASHTAG]

verify.jpg

NI VIZURI KUONA SHIRIKA LATAYARISHA WAPIGA KURA KWA NCHI MAJIRANI KAMA TANZANIA. LAKINI USA WALIWEKA VITUO VITATU KWA waKENYA WOTE NCHI KUBWA Kama U.S, HAPA NI DHULUMA!!!
 
****Tume ya Uchaguzi**** Shirika= Corporation.
 
Independent Electoral and Boundaries Commission(IEBC)
May 24 at 1:20pm ·
Commissioner Roselyne Akombe takes a Kenyan voter in Arusha through the verification. This is the technology we will use to check-in voters on 8/8 [HASHTAG]#VerifyYourDetails[/HASHTAG]

verify.jpg

NI VIZURI KUONA SHIRIKA LATAYARISHA WAPIGA KURA KWA NCHI MAJIRANI KAMA TANZANIA. LAKINI USA WALIWEKA VITUO VITATU KWA waKENYA WOTE NCHI KUBWA Kama U.S, HAPA NI DHULUMA!!!
Nilijua umefanya kwa bahati mbaya kwenye kichwa cha habari
kumbe kusudi!!

Kiswahili chawapi hicho
 
Tume, Shirika...whats the big deal? bora ameeleweka.....broken english yenu huwa hata haieleweki...heri mzungumze kiswahili
 
Kuna watu wanajifunza hapa, nimemwambia hivyo ili ajifunze.
 
Unayo akili timamu kaka nijifunze Kiswahili kutoka kwako. Malimwengu hayo!!!! Sikuihitaji Wala sioni ukihitijika Ila tu kwa kutoa povu pekee hapa JF. Sawa!!!!!
 
Kiswahili chenyewe hujui acha ufundishwe
 
Sio Na danganyika kaka!!! Tena Kiswahili nenda kafanya uchunguzi wa kwako toka tafsili Google kwenda BBC wakenya ndio watengeza hela Na hicho Kiswahili.
 
= tafsiri.
 
Back
Top Bottom