Uchaguzi 2020 Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake

Baadaye mamurere nao wasiachwe tena wapewe dk kumi tu fukuzia mbali tupa kabisa kuleeee
 
🔴 Alert

CHADEMA hakikisheni kesho Lissu hashiki simu yake siku nzima. Asije akaona Umati wa Magufuli, Viwanja vya Jamhuri Dodoma, akaanza kuleta story za kujitoa kwenye Uchaguzi. Hakuna mtu kujitoa uchaguzi huu, kesho kazi inaanza. Karibuni Jamhuri
 
Mumeifungia clouse kwa kutangaza matokeo lkn nashangaa magazeti ya Uhuru jamvi habari hayaja fungiwa na Jana ndio habari yao kuu ktk magazeti kupita bila kupingwa
 
WAKWENDREEEEEEEEE........
HAWANA MAANA HATA KIDOGO HAO TBCCM
 
Safi sana waendelee kujiongelesha mijimaneno yao sasa! Leo wamenawishwa!
 
Walishazitangaza lini?
 
Naamini kesho mtarusha matangazo yenye maadili njema.
 
Utetezi wa TBC hauna mashiko,hata wakati crew wa TBC wanafungasha vyombo vyao inasemekana walisikika wakiulalamikia uongozi wao ambao waliwapa maagizo kinyume na maadili ya kazi zao kitu ambacho kingeweza wasababishia madhara
 
Sehemu iliyojaa masikini ndio ngome ya ccm siku zote , nani atashangaa !
 
Hooovyo in Lissu voice
5 yrs ya mapambio leo ndio wameona inafaa kurusha khabar za wengine?
 
Utetezi wa TBC hauna mashiko,hata wakati crew wa TBC wanafungasha vyombo vyao inasemekana walisikika wakiulalamikia uongozi wao ambao waliwapa maagizo kinyume na maadili ya kazi zao kitu ambacho kingeweza wasababishia madhara
narudia tena , baada ya Lissu kutwaa nchi TBC itafutwa na majengo yake yatatumiwa na shule za awali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…