Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,805
Yaani kama kungekuwa na uwezo tukatolewa woote tukashushwa pale Ulaya tukaishi kwa siku moja halafu turudishwe hapa wallah mabadiliko yangefanyika kwa siku moja manake naona watu wameishi maisha ya leo afadhali ya jana mpaka wamekuwa chanda na pete kama mateja vileWanawadanganya watu etioooo tumejenga miundo mbinu mara ooo hiki na kile.
Hizo pesa zilizo jenga hiyo miradi ni kodi za watanzania. Hakuna aliye tumia fedha yake ya mfukoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
TBC nao wametumwa nini? Mlikataa kurusha matangazo kwa vyama vya upinzani kwa muda mrefu tu, mling'ang'ania ccm tu. Malalamiko yalipozidi mlijitetea kwamba vyama vingine havifuati utaratibu ikiwemo kuwaalika katika shughuli zao. Sasa leo hamja alikwa mmekuja wenyewe na wenye mkutano wamekataa, nini kinawafanya mlalamike? Eti si uungwana na kunahatarisha usalama wa watendaji na vifaa, si mseme moja tu hamkutegemea hilo labda mlidhani watawashangiria kwa unafiki wenu. Kama mlitumwa kutafuta sababu basi mmeipata haya nendeni polisi na tume ya uchaguzi. Na wasivyokuwa na aibu utasikia matamko yatakavyo pishana kila kona.
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake katika mkutano wao wa kuzindua Kampeni za Mgombea wao wa Urais katika viwanja vya Zakheim, Mbagala Jijini Dar es Salaam, jioni hii.
TBC1 na TBC Taifa kama chaneli za umma zilikuwa zinarusha matangazo ya moja kwa moja kwenye uzinduzi huo kwa mujibu wa sheria na miongozo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Hata hivyo, kwa mujibu wa mwongozo wa Tume wa mwaka 2020, (kifungu e na j), kanuni za maadili ya tasnia ya habari; vyombo vya utangazaji vya umma pia vinao wajibu wa kuhakikisha maudhui yanayorushwa hewani yanazingatia maadili ya taaluma na ya jamii.
Kitendo cha uongozi wa CHADEMA kutangaza kuwafukuza watangazaji wa TBC si cha kiungwana na kinahatarisha usalama wa watendaji hao na vifaa vyao.
Pamoja na kwamba TBC inapanga kutoa taarifa rasmi Polisi na kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi, kwa sasa inasitisha rasmi kurusha matangazo ya CHADEMA hadi hapo watendaji wake watakapohakikishiwa usalama.
TBC inapenda kutimiza wajibu wake wa kisheria na imekuwa tayari, siku zote, kufanya kazi na vyama vyote vya siasa bila ubaguzi.
Sasa ukishalima huko bila ya access ya barabara, madaraja na train nani atakuja kufuata hizo bidhaa huko.
Uchumi sio swala la kuku na yai kipi kimetangulia; serikari inahitaji kutengeneza mazingira kwanza yanayoweza chochea wafanyabiashara kuchangamkia fursa za uchumi.
Hapo ni tatizo siwezi kubisha hii biashara ya wakurugenzi kunyima wapiga kura haki ya kuchagua kwakweli sio democracy.
Ningelikuwa mimi ndio Kiongozi upinzani sasa hivi nipo mahakamani naomba NEC isitishe zoezi la uchaguzi mpaka hilo jambo likae sawa, but thats just my thinking.
Hicho kilimo cha mkono au kilimo kipi hilo soko la nje umewatafutia unataka kujifunza kilimo jomba sogea hapo jirani tu kwa swahiba wala sio mbaliSasa ukishalima huko bila ya access ya barabara, madaraja na train nani atakuja kufuata hizo bidhaa huko.
Uchumi sio swala la kuku na yai kipi kimetangulia; serikari inahitaji kutengeneza mazingira kwanza yanayoweza chochea wafanyabiashara kuchangamkia fursa za uchumi.
hao masikini waliojaa ccm ndio ushindi wa chama matajili wenu wana wanufaishaje.Sehemu iliyojaa masikini ndio ngome ya ccm siku zote , nani atashangaa !
Umati wa Magufuli au umati wa wasanii?[emoji837] Alert
CHADEMA hakikisheni kesho Lissu hashiki simu yake siku nzima. Asije akaona Umati wa Magufuli, Viwanja vya Jamhuri Dodoma, akaanza kuleta story za kujitoa kwenye Uchaguzi. Hakuna mtu kujitoa uchaguzi huu, kesho kazi inaanza. Karibuni Jamhuri
bado sija kuelewa hapo huja elewa nn🙂🙂🙂Umati wa Magufuli au umati wa wasanii?
Tutanufaikaje wakati masikini wajinga ndio wanasababisha hali hiihao masikini waliojaa ccm ndio ushindi wa chama matajili wenu wana wanufaishaje.
Wanaenda kushangaa wanamuziki na wakina shilole weka akilini na sii vinginevyo[emoji837] Alert
CHADEMA hakikisheni kesho Lissu hashiki simu yake siku nzima. Asije akaona Umati wa Magufuli, Viwanja vya Jamhuri Dodoma, akaanza kuleta story za kujitoa kwenye Uchaguzi. Hakuna mtu kujitoa uchaguzi huu, kesho kazi inaanza. Karibuni Jamhuri
Hii inaitwa SASA BAAASIHuu ni mtego CDM watakuja fahamu washachelewa..
Yaani wana ccm wanaishi maisha ya mlevi wa gongo maana kila akinywa lazima afumbe macho kwa uchunguYaani kama kungekuwa na uwezo tukatolewa woote tukashushwa pale Ulaya tukaishi kwa siku moja halafu turudishwe hapa wallah mabadiliko yangefanyika kwa siku moja manake naona watu wameishi maisha ya leo afadhali ya jana mpaka wamekuwa chanda na pete kama mateja vile
Wanayofanyiwa wao ni haki?Chadema wamekosa busara.walichafanya leo kuwafukuza tbc kitakuja kuwagharimu.
Sasa kama hauna ubongo utaelewaje?bado sija kuelewa hapo huja elewa nn[emoji846][emoji846][emoji846]
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake katika mkutano wao wa kuzindua Kampeni za Mgombea wao wa Urais katika viwanja vya Zakheim, Mbagala Jijini Dar es Salaam, jioni hii.
TBC1 na TBC Taifa kama chaneli za umma zilikuwa zinarusha matangazo ya moja kwa moja kwenye uzinduzi huo kwa mujibu wa sheria na miongozo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Hata hivyo, kwa mujibu wa mwongozo wa Tume wa mwaka 2020, (kifungu e na j), kanuni za maadili ya tasnia ya habari; vyombo vya utangazaji vya umma pia vinao wajibu wa kuhakikisha maudhui yanayorushwa hewani yanazingatia maadili ya taaluma na ya jamii.
Kitendo cha uongozi wa CHADEMA kutangaza kuwafukuza watangazaji wa TBC si cha kiungwana na kinahatarisha usalama wa watendaji hao na vifaa vyao.
Pamoja na kwamba TBC inapanga kutoa taarifa rasmi Polisi na kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi, kwa sasa inasitisha rasmi kurusha matangazo ya CHADEMA hadi hapo watendaji wake watakapohakikishiwa usalama.
TBC inapenda kutimiza wajibu wake wa kisheria na imekuwa tayari, siku zote, kufanya kazi na vyama vyote vya siasa bila ubaguzi.
Naunga mkono hoja ya Mbowe hao jamaa waache unafiki Hawajawahi kua na urafiki na wapinzani wa Nchi hii ifike mahala tuwe wakweli tuTangu lini wakawa chombo cha umma hawa?