Uchaguzi 2020 Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake

Uchaguzi 2020 Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake

Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake katika mkutano wao wa kuzindua Kampeni za Mgombea wao wa Urais katika viwanja vya Zakheim, Mbagala Jijini Dar es Salaam, jioni hii...
Hao ni sawa na chui aliye jifunika ngozi ya kondoo hasa kwa upande wa cdm.

Tangu lini waliwahi kurusha mikutano ya cdm? Waache unafiki wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu nawasalimu heshima iwe juu yenu,

Baada ya nguvu ya umma kuitimua tbc leo viwanja vya zakhiem kutokana na kuonyesha matangazo ya mkutano wa CHADEMA kwa hila kwa kukatisha masuala ya msingi kwa taifa ambayo wanahisi watawala hawayapendi kuyasikia,shirika hilo la utangazi la taifa limesema litaenda polisi kuishtaki chadema na kushitaki kwa Nec
 
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake katika mkutano wao wa kuzindua Kampeni za Mgombea wao wa Urais katika viwanja vya Zakheim, Mbagala Jijini Dar es Salaam, jioni hii...
Wapumbavu Sana TBCccm..wamezima matangazo ya moja kwa moja wakawa wanapiga story
 
Mimi piah ni miongoni wa waliohuzunishwa na CHADEMA au Mbowe. Haikuwa ustaarabu wangewaacha tu. As long as na wao walikuwa na stream media yao.
 
Back
Top Bottom