Uchaguzi 2020 Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake

Madaraja yamejengwa kwa kodi zetu na mengine hadi mjukuu wako anadaiwa mnachoshindwa kuelewa leteni sera hoja zilizoshiba mtatutoaje hapa tulipo kutupeleka kwenye nchi ya maziwa na asali bila kusahau mpo hapo mwaka karibu wa sitini huu sio kwamba ndio mmepewa nchi juzi hoja zenye mashiko hayo hata aingie Rungwe yatajengwa
 
Sasa Kwanini hukuwashauri ccm wasifanye dhuluma, na ubakaji majimbo kwa kuwateka wapinzani, mapingamizi ya kijinga, polisi, takukuru nk, wakati CHADEMA wepesi tu?!!
Hapo ni tatizo siwezi kubisha hii biashara ya wakurugenzi kunyima wapiga kura haki ya kuchagua kwakweli sio democracy.

Ningelikuwa mimi ndio Kiongozi upinzani sasa hivi nipo mahakamani naomba NEC isitishe zoezi la uchaguzi mpaka hilo jambo likae sawa, but thats just my thinking.
 
Wanawadanganya watu etioooo tumejenga miundo mbinu mara ooo hiki na kile.

Hizo pesa zilizo jenga hiyo miradi ni kodi za watanzania. Hakuna aliye tumia fedha yake ya mfukoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
msituchanganye na nyie tbc hapa, mbona bunge live mmeshindwa kurusha iweje leo hii mjifanye mnataka kurusha mikutano ya chadema? ina maana hao chadema ni muhimu sana kuliko watanzania wote?

Mmejawa na inafiki tu amna lolote, watanzania timekuwa tukilipa kodi, ilipaswa tuone live wale wawakilishi wetu wanavyotuwakilisha matokeo yake mmetunyima haki yetu ya msingi leo hii mnajifanya mnataka kurusha mikutano ya chadema......shame on you!!
 
Sasa ukishalima huko bila ya access ya barabara, madaraja na train nani atakuja kufuata hizo bidhaa huko.

Uchumi sio swala la kuku na yai kipi kimetangulia; serikari inahitaji kutengeneza mazingira kwanza yanayoweza chochea wafanyabiashara kuchangamkia fursa za uchumi.
 
Nimeshangaa kuona anayejiita mwanaharakati wa kisiasa mtandaoni kusema tukio la ufunguzi wa kampeni ni private??
Hili amepost kwenye tweet yake iliyokuwa inajaribu kutetea uovu na udhalilishaji wa media uliofanywa na mwenyekiti wa Chadema.
 
Channel za Uma? Uma ni CCM NA MATAGA? pumbaff kabisa hao tbc..kwanza nani aliwaalika zakhem?
 
Nawaza kwa mbali,
Ivi ndio CHADEMA wametinga IKULU KIMASIHARA TBC itaendelea kufanya kazi kama miaka yote?
Mkuu angalau kwa hili umeguswa. TBC ni kodi za watanzania wote hata tusio na vyama, kwa nini ifanye kazi kama station ya chama?? Nimekuona hapa hukupendezwa kwa tabia ya TBC, ingawa hili limesemwa mara nyingi lakini watu wamekua hawalioni. Kidogo kidogo watu tutaelewana tu.
 
Kazi nyepesi kwa msaada wa tume ya uchaguzi au sio!? Naona jamaa haamini tena kama mandege yatampigia kura.
 
Mamilioni unayozungumzia ni yapi hayo.? Na wangefikiwa vipi kama kile kilichomuhimu wanakikata hawarushi..nikabaki najiuliza watazamaji wanapaswa kusikiliza mkutano wa chadema au kuwasikiliza wao
 
TBC wametumia akili ndogo Tu, kuwanasa Chadema Kwa mtego wa panya, watu wenye akili zao na wakakubali kuingia Choo cha kike na TBC ikatimiza kusudi lake leo

Ni Sawa tu na Tundu Lisu alipotaka kwenda kuchukua Gari lake kituo cha police Kule Dodoma, police wasingetumia akiri kubwa, wangeingia mtego wa Lisu, na leo Wao Chadema wameingia mtego wa Vyombo vya habari, wimbo utakuwa si mlitufukuza, hatuandiki habari zenu Wala kuzitangaza, kumbe nyuma ya pazia ndio agenda yao
 
Mimi piah ni miongoni wa waliohuzunishwa na CHADEMA au Mbowe. Haikuwa ustaarabu wangewaacha tu. As long as na wao walikuwa na stream media yao.
Umeumia eehh. Hasa ukichukulia kodi zetu ziko hapo, inauma sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…