Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,446
- 1,645
UJAMAA hauwezi kufanya kazi zama hizi za wezi na wala rushwa wasiojali lolote kuhusu wengine.Natamani kuwaona vijana wa Taifa hili kuanzia miaka 18 hadi 45 wanakuwa wanachama rasmi wa ushirika wa Taifa awe anataka au hataki kama vile mnavyowapeleka Vijana JKT kwa mujibu wenu uleeee.
Haaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaa !.Mjomba kama hakuna chochote kitu 💰, hatuji, mkono mtupu haulambwi.
Vita na Ugonjwa ndio huwa njia pekee ya kuelimisha mtu au watu maana ya maisha ni nini.UJAMAA hauwezi kufanya kazi zama hizi za wezi na wala rushwa wasiojali lolote kuhusu wengine.
Huo Ushirika bado utawanufaisha wezi na wala rushwa wachache.
Vijana mjifunze KUJITEGEMEA, achaneni na mawazo ya makundi makundi.
Be a Man, Kijana chagua Ujuzi(Skill) wowote kisha jifunze then ingia kwenye race za kutafuta Maisha.
Umoja upi mkuu?Haaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaa !.
Mbona hapo mtaani kwenu mweweka ushirika usio rasmi; na ilivyo vizuri mnafurahia huo umoja wenu kwa matunda. Kwanini hutaki muwe wamoja tena kama zamani !?.
Ushirika wa vijana.Umoja upi mkuu?
Kitu km hiki nimetoka kusema sehemu hivi, dunia ya sasa unahitaji juhudi, maarifa na ari binafsi ya kupambania kile kihitajicho, sio zama za ujamaa kabisaa.UJAMAA hauwezi kufanya kazi zama hizi za wezi na wala rushwa wasiojali lolote kuhusu wengine.
Huo Ushirika bado utawanufaisha wezi na wala rushwa wachache.
Vijana mjifunze KUJITEGEMEA, achaneni na mawazo ya makundi makundi.
Be a Man, Kijana chagua Ujuzi(Skill) wowote kisha jifunze then ingia kwenye race za kutafuta Maisha.