Hili shirika linahitaji TBS ya nchi nyingine ije kulikaguaShirika la viwango la Taifa limepewa hukumu la kudhibiti ubora wa bidhaa ziingiazo na zizalishwazo nchini. Lakini kwa muda mrefu ubora wa bidhaa umekuwa ikilalamikiwa na watumiaji.
Nitoe mifano ya vifaa vichache.
Charger za simu na vifaa vya umeme ni balaa. Unatumia masaa 12 simu haijajaa. Mabati na misumari, na nondo. Gauge hazifuatwi. Bati gauge 30 zinawekwa mhuri wa gauge 28.
Misumari inatengenezwa myembamba na laini, mafundi ni kuponda vidole kwa kupinda.
Nondo hazifiki unene na urefu unaotajwa na muuzaji. Ni wakati mwafaka kwa shirika hili kufutwa.
Wenye uwezo wa kutambua bidhaa zisizokidhi viwango ni TBS, polisi kazi yao ni kukamata kwa maelekezo ya mlalamikaji, TBS. Siamini kama polisi wanazo maabara za kupimia ubora wa bidhaa.Mkuu,
Kwa uwalisia, kazi hii inatakiwa kufanywa na polisi na sio TBS.
kuuza/kununua/kumiliki bidhaa fake ni “criminal offence” ipo chini ya idara ya polisi.
Polisi ndio wana kazi ya kusimamia sheria, ambayo ndani yake kuna hayo maswala ya standards. Hii ndivyo inatakiwa kuwa.
TBS wao wanaangalia au kupima bidhaa na kutoa kiwango, ila sio kazi yao kusaka bidhaa fake mtaani.
Asante.
Si kweli. TBS ndo wenye jukumu. Police yeye ni kuenforce sheria. Kila mtu na specialization yake.Mkuu,
Kwa uwalisia, kazi hii inatakiwa kufanywa na polisi na sio TBS.
kuuza/kununua/kumiliki bidhaa fake ni “criminal offence” ipo chini ya idara ya polisi.
Polisi ndio wana kazi ya kusimamia sheria, ambayo ndani yake kuna hayo maswala ya standards. Hii ndivyo inatakiwa kuwa.
TBS wao wanaangalia au kupima bidhaa na kutoa kiwango, ila sio kazi yao kusaka bidhaa fake mtaani.
Asante.
Mkuu,

Polis wa tz uwape na kazi ya kusaka bidhaa feki??jiandae kwa matukio ya kutisha..na dhuruma zidi ya wananchi.Mkuu,
Kwa uwalisia, kazi hii inatakiwa kufanywa na polisi na sio TBS.
kuuza/kununua/kumiliki bidhaa fake ni “criminal offence” ipo chini ya idara ya polisi.
Polisi ndio wana kazi ya kusimamia sheria, ambayo ndani yake kuna hayo maswala ya standards. Hii ndivyo inatakiwa kuwa.
TBS wao wanaangalia au kupima bidhaa na kutoa kiwango, ila sio kazi yao kusaka bidhaa fake mtaani.
Asante.
Miss pabloSi kweli. TBS ndo wenye jukumu. Police yeye ni kuenforce sheria. Kila mtu na specialization yake.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Police tena!!!,Ni hawa wetu wenye njaa njaa au wengine?.Mkuu,
Kwa uwalisia, kazi hii inatakiwa kufanywa na polisi na sio TBS.
kuuza/kununua/kumiliki bidhaa fake ni “criminal offence” ipo chini ya idara ya polisi.
Polisi ndio wana kazi ya kusimamia sheria, ambayo ndani yake kuna hayo maswala ya standards. Hii ndivyo inatakiwa kuwa.
TBS wao wanaangalia au kupima bidhaa na kutoa kiwango, ila sio kazi yao kusaka bidhaa fake mtaani.
Asante.
Nadhani idara yetu ya polisi bado changa sana.Polis wa tz uwape na kazi ya kusaka bidhaa feki??jiandae kwa matukio ya kutisha..na dhuruma zidi ya wananchi.
#MaendeleoHayanaChama
Bila shaka age yako itakuwa kwenye 20's.Mimi kilio changu ni kipo kwenye earphones, Aisee huu mwaka nimetumia zikifikazo 20 coz kila mwezi earphone 2 zinaharibika
Kwamba mm ndo nakosea matumizi yake?
Kwhyo ikishapima na kugundua haijakidhi viwango inaruhusu tu kuingizwa,sio....Miss pablo
Counterfeit products zote zinaingia kupitia mpakani au bandarini. Kwenye haya maeneno kunakuwa na watu wa “boarder protection “ hii Ni agency ambayo ipo chini ya polisi au wizara ya ulinzi.
Kazi ya hii agency ni kuhakikisha hakuna bidhaa fake inaingia nchini au kitu chochote hatarishi. Hii ni agency kubwa ambayo kama yenyewe ina wataalamu wake kwa kila eneo.
TBS ni sherika la viwango. Wao kazi yao ni kupima tu na kutoa matokeo au certificate. Unaweza kusema ni mahabara tu ya kukagua bidhaa au kufanya “quality assurance “ lakini haina meno ya kukamata na kukimbizana na watu kuhakikisha hakuna bidhaa fake.
Asante
Polisi ndiyo wasimamie nondo au bati kukidhi vigezo like serioysly? Nadhani hii siyo sawa.Mkuu,
Kwa uwalisia, kazi hii inatakiwa kufanywa na polisi na sio TBS.
kuuza/kununua/kumiliki bidhaa fake ni “criminal offence” ipo chini ya idara ya polisi.
Polisi ndio wana kazi ya kusimamia sheria, ambayo ndani yake kuna hayo maswala ya standards. Hii ndivyo inatakiwa kuwa.
TBS wao wanaangalia au kupima bidhaa na kutoa kiwango, ila sio kazi yao kusaka bidhaa fake mtaani.
Asante.
Kuna zile umenunua hata wiki hazimalizi sikio moja linapiga na umenunua ogMimi kilio changu ni kipo kwenye earphones, Aisee huu mwaka nimetumia zikifikazo 20 coz kila mwezi earphone 2 zinaharibika
Kwamba mm ndo nakosea matumizi yake?
Kaka,Polisi ndiyo wasimamie nondo au bati kukidhi vigezo like serioysly? Nadhani hii siyo sawa.
Tatizo TBS hawana staff wa kutosha pamoja na uwezo wa kiufundi kusimamia maeneo yote wanayopaswa
Samahani mkuu, kwahiyo police ndo hupima na kujua ubora wa bidhaa? Kwamba wao wanajua fake na og?Miss pablo
Counterfeit products zote zinaingia kupitia mpakani au bandarini. Kwenye haya maeneno kunakuwa na watu wa “boarder protection “ hii Ni agency ambayo ipo chini ya polisi au wizara ya ulinzi.
Kazi ya hii agency ni kuhakikisha hakuna bidhaa fake inaingia nchini au kitu chochote hatarishi. Hii ni agency kubwa ambayo kama yenyewe ina wataalamu wake kwa kila eneo.
TBS ni sherika la viwango. Wao kazi yao ni kupima tu na kutoa matokeo au certificate. Unaweza kusema ni mahabara tu ya kukagua bidhaa au kufanya “quality assurance “ lakini haina meno ya kukamata na kukimbizana na watu kuhakikisha hakuna bidhaa fake.
Asante
Si wewe tu, wengi hufikia hisia kama zako, kuwa u mtumiaji mbaya, kumbe vitu havina ubora. Mara kadhaa nimeona mabati yenye kutu kwenye nyumba zinazoendelea kujengwa!Mimi kilio changu ni kipo kwenye earphones, Aisee huu mwaka nimetumia zikifikazo 20 coz kila mwezi earphone 2 zinaharibika
Kwamba mm ndo nakosea matumizi yake?