Shirika la Viwango Tanzania(TBS) halina uhalali wa kuwepo, majukumu yamewashinda

Shirika la Viwango Tanzania(TBS) halina uhalali wa kuwepo, majukumu yamewashinda

Kuna uwezekano mkubwa mzazi wako atakua ni mtumishi wa TBS
Au eye ni mfanyakazi wa TBS. Pamoja na kutoa viwango, ni wajibu wa TBS kuwa na follow up mechanism ya kuona hizo stds zinafuatwa.
 
Polis wa tz uwape na kazi ya kusaka bidhaa feki??jiandae kwa matukio ya kutisha..na dhuruma zidi ya wananchi.

#MaendeleoHayanaChama
Kila siku watachukua bidhaa bila ya confiscation certificate, wakidai wanaenda kuzipima, na wakirudi huna cha kuhoji.
 
Miss pablo

Counterfeit products zote zinaingia kupitia mpakani au bandarini. Kwenye haya maeneno kunakuwa na watu wa “boarder protection “ hii Ni agency ambayo ipo chini ya polisi au wizara ya ulinzi.

Kazi ya hii agency ni kuhakikisha hakuna bidhaa fake inaingia nchini au kitu chochote hatarishi. Hii ni agency kubwa ambayo kama yenyewe ina wataalamu wake kwa kila eneo.

TBS ni sherika la viwango. Wao kazi yao ni kupima tu na kutoa matokeo au certificate. Unaweza kusema ni mahabara tu ya kukagua bidhaa au kufanya “quality assurance “ lakini haina meno ya kukamata na kukimbizana na watu kuhakikisha hakuna bidhaa fake.

Asante
Kwa vitu hatari makubaliano nawe, kwa vitu fake napata ukakasi. Ubovu wa hivi vitu hujulikana wakati wa matumizi, na ndio maana nchi nyingi huwa na ukaguzi kabla ya kusafirisha.
 
Mimi kilio changu ni kipo kwenye earphones, Aisee huu mwaka nimetumia zikifikazo 20 coz kila mwezi earphone 2 zinaharibika

Kwamba mm ndo nakosea matumizi yake?
Jiandae kuwa kiziwi boss, hizo earphones feki, n hatari saana kwa usalama wa masikio yako!!!!
 
Cheap is expensive, toa hela nunua vitu vinavyoeleka.
Unaweza kuwa na hela na bado ukapigwa. Wauzaji wako kimaslahi zaidi. Utauziwa kitu fake kwa bei kubwa ukiaminishwa ndio halisi.
 
Polisi ndiyo wasimamie nondo au bati kukidhi vigezo like serioysly? Nadhani hii siyo sawa.

Tatizo TBS hawana staff wa kutosha pamoja na uwezo wa kiufundi kusimamia maeneo yote wanayopaswa
Matokeo ndio haya maumivu kwa wananchi. Mara nyingi nawaona kwenye maonesho, simply sio matukio ya kila siku, wanakuwa na uwezo wa kujipanga. Hata hivyo, kwa uchache huo wamebaki kuwa wa kuishana na wahalifu washikwao na bidhaa fake. Sijasikia hukumu za makosa ya watuhumiwa wao.
 
Kaka,
Nadhani unaposema polisi, unafikiria wale wanao kaa kwenye vituo.Hao hawajui kitu zaidi ya kukamata tu!

Polisi ni kubwa sana, ina watu wa kila idara paka “chemists,Biologist au engineers”. Niliwai kuishi Australia na Canada miaka ya nyuma, kazi kama hii ilikuwa chini ya polisi,ambayo ilikuwa inafanywa na watu wa boarder agency.

Asante
Tuongelee mazingira ya Tanzania. Polisi wetu wengi ni hawa wa f4f. Na ndio hao waliopo hata ktk vitengo vya kitaaluma kama cyber crime. Unauonaje ufanisi wao kwenye taarifa za watu kuibiwa simu? Ni zero, na wengi wanapeleka taarifa za kuibiwa simu kuhofu kugeuziwa kibao pindi ikitumika vibaya, si tumaini la kuipata.
 
Mimi kilio changu ni kipo kwenye earphones, Aisee huu mwaka nimetumia zikifikazo 20 coz kila mwezi earphone 2 zinaharibika

Kwamba mm ndo nakosea matumizi yake?
tatizo wewe ya kushoto unaweka kulia na ya kulia we unaenda kunawia
 
Nondo siku hizi ni laini sana..na urefu umepungua
Misumari nayo milaini sana..
Cement 50kg haifiki ...
Earth rod ambazo sio copper zpo kibao...
Circuit breaker nying ni mapambo..hazifanyi kaz
Kiufupi, kwenye ujenzi 80% ya vifaa ni feki
 
Miss pablo

Counterfeit products zote zinaingia kupitia mpakani au bandarini. Kwenye haya maeneno kunakuwa na watu wa “boarder protection “ hii Ni agency ambayo ipo chini ya polisi au wizara ya ulinzi.

Kazi ya hii agency ni kuhakikisha hakuna bidhaa fake inaingia nchini au kitu chochote hatarishi. Hii ni agency kubwa ambayo kama yenyewe ina wataalamu wake kwa kila eneo.

TBS ni sherika la viwango. Wao kazi yao ni kupima tu na kutoa matokeo au certificate. Unaweza kusema ni mahabara tu ya kukagua bidhaa au kufanya “quality assurance “ lakini haina meno ya kukamata na kukimbizana na watu kuhakikisha hakuna bidhaa fake.

Asante
Yaa, upo sahihi lakini ni ngumu watu kukuelewa hasa wachangiaji hoja kwa mihemuko.....polisi au halmashauri wakitilia shaka bidhaa ndo wanaweza kuzikamata na kwenda kuomba zithibitishwe na TBS kama zinakidhi ubora na zimesajiliwa, halafu wao ndo wataendelea na utaratibu mwingine.
 
Kwa vitu hatari makubaliano nawe, kwa vitu fake napata ukakasi. Ubovu wa hivi vitu hujulikana wakati wa matumizi, na ndio maana nchi nyingi huwa na ukaguzi kabla ya kusafirisha.
Exactcly. Najua same thing. Huwa vibali vyote vinatangulia kabla vifike hapa. Yaan na hii polisi yetu ya hovyo hivi ndo wachukue hili jukumu?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Yaa, upo sahihi lakini ni ngumu watu kukuelewa hasa wachangiaji hoja kwa mihemuko.....polisi au halmashauri wakitilia shaka bidhaa ndo wanaweza kuzikamata na kwenda kuomba zithibitishwe na TBS kama zinakidhi ubora na zimesajiliwa, halafu wao ndo wataendelea na utaratibu mwingine.
Kwanini ziingie nchini kabla ya kupata hizo certificate?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
We umekariri maisha nina miak 55 sijawahi kaa bila earphone napenda mziki haswa.
Nikiwa idle tu lazima nisikilize mziki,especially napokuwa mbali na nyumbani.
Tumetofautiana hobies.
Inawezekana na wewe kuna vitu unavipenda kwangu nikaona ni vya kitoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, utakuwa ni WA Dar?!!![emoji23][emoji23][emoji23].I guess.
 
Si wewe tu, wengi hufikia hisia kama zako, kuwa u mtumiaji mbaya, kumbe vitu havina ubora. Mara kadhaa nimeona mabati yenye kutu kwenye nyumba zinazoendelea kujengwa!
Ni kisanga mzee, hii nchi kuna mizigo inaingia ambayo ni fake ila viongozi wa hizo taasisi wanakula rushwa kwa kuipitisha
 
Kwanini ziingie nchini kabla ya kupata hizo certificate?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ndo maana nasema zikitiliwa mashaka zinatakiwa zipelekwe TBS wathibitishe kama wao ndo wamezisajili, maana unaweza kukuta watu wanaamua kugonga mihuri yao wenyewe kwamba TBS ndo wamethibitisha..........
 
Uko mbali Sana,
Unanunua SMART TV nchi 32",

Ila ukipima unakuta Ni nchi 30 au 29.

Ila box mpaka kila kitu,
Kimeprintiwa lebo ya nchi 32
 
Back
Top Bottom