Shirika la viwango (tbs)

Shirika la viwango (tbs)

Ibra77

Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
21
Reaction score
4
Za saahiz vijana wenzangu,
Polen na majukumu ya kujenga taifa. Samahan naomba tafadhali mwenye kujua utaratibu mzima wa kupata nembo ya shirika la Viwango (tbs) kwenye bidhaa unayoitengeneza unafanyeje.
 
Naombeni msaada vijana wenzangu
 
Back
Top Bottom