Shiriki Katika Kudumisha Ubora na Usalama wa JamiiForums, tumia REPORT button

haifanyi kazi, nimejaribu kureport huu uzi lakini bado tu nakutana nao road

anyway, mimi siyo mtabiri ila kwa ujinga wa humu jf kuna members watakuwa wanareport watu kwa chuki zao binafsi tu baada ya kushindwana nao hoja. nipende kuwapa pole na kila lakheri watu hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…