LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
kwani maudhui ya kichawa ni matusi?Je unaweza kureport maudhui ya kuudhi kama yale anayoyaandika Lucas mwashambwa
kwani maudhui ya kichawa ni matusi?Je unaweza kureport maudhui ya kuudhi kama yale anayoyaandika Lucas mwashambwa
we mwenyewe ukibanwa mbavu unaanza kutoa matusi, una lugha ngumu sanaHivi ni kwann Huwa mnajiamulia kufuta thread ya mtu bila kumpa taarifa au vinginevyo?huu sio udikteta ambao tunaupinga Kila siku enyi JF? halafu kuna watu wanatoa lugha chafu lakini unakuta ikitolewa report bado apewi Ban ,unakuta bado anaendelea kuporomosha matusi! Wengine humu ni vichaa kwaiyo akiripotiwa mara kwa mara inatakiwa apigwe Life Ban.. sikutegemea mtu kama GENTAMYCINE Hadi leo bado hajapigwa marufuku kutumia huu mtandao! ila pamoja na yote mnastahili pongezi pamoja nakupitia changamoto nyingi ila forum yenu imetusaidia sana sana.
safi sana kwa kuondolewa hilo bandiko la kukashifu wenye imani ya diniMimi leo mmeondoa bandiko langu linahusu wafia dini bila kunambia lina kasoro gani na kamwe huwa situation mtu kwenye machapisho yangu.
Swali kwanini mmeondoa bandiko hilo la wafia dini?
unaogopa nini? Pangua hoja, sio unajificha usionweKingine bosi Maxence Melo boresheni option ya ignore pale mtu anatakiwa apigwe bloku msionane kabisa humu jukwaani sio mara unamuona anaeendelea kukukejeli tu
Nadhani hua wanaangalia mzani umekaaje km umemuanza au mmeanza hapo lazima wabalance mzani sio wanatoa adhabu tuGENTAMYCINE nimemripoti mara kadhaa lakini sioni mkimshughulikia .
Ni bingwa wa matusi humu jukwaani.
Jamaa limatusi na madharau hatari.GENTAMYCINE nimemripoti mara kadhaa lakini sioni mkimshughulikia .
Ni bingwa wa matusi humu jukwaani.
Tuko pamoja Kiongozi wetu....Wakuu,
Salamu nyingi kwenu, wanachama (wana JF) na wageni wote mnaotembelea JamiiForums! Tunayo furaha kubwa kuendelea kuwa nanyi katika jukwaa hili muhimu ambalo limekuwa kitovu cha fikra, maarifa, na uhuru wa kutoa maoni kwa staha.
Ili kuendelea kufurahia mijadala yenye tija na kuhakikisha kila mmoja wetu anakuwa katika mazingira salama, tunapenda kuwakumbusha mambo machache ya msingi:
Tunawashukuru kwa dhati kwa ushirikiano mnaoendelea kuuonyesha kila siku. Mchango wenu katika kuripoti machapisho yanayokiuka taratibu ndio unaoifanya JamiiForums iendelee kuwa sehemu safi, yenye amani, na inayoaminika na kila mtu. Usinukuu andiko na ku-tag moderators, unachelewesha maamuzi; saidia kwa kuripoti ujumbe husika.
- Matumizi ya Kitufe cha 'REPORT': Tunawaomba muwe mabalozi wazuri kwa kutumia kitufe cha 'REPORT' (Ripoti) kilichopo kwenye kila chapisho pale mnapokutana na maudhui yasiyofaa, lugha ya udhalilishaji, au ukiukwaji wowote wa kanuni za jukwaa. Hii ndiyo njia ya haraka na salama zaidi ya kutupa taarifa ili tuchukue hatua.
- Mchakato Wetu wa Usimamizi: Pindi mnaporipoti chapisho, bandiko husika linaondoka automatically na timu yetu ya wasimamizi (moderators) hupitia maudhui husika kwa umakini na weledi mkubwa. Kulingana na miongozo ya jukwaa letu, tunaweza kuchukua hatua za kurekebisha (edit) au kuondoa kabisa (remove) maudhui hayo. Wale wanaoonekana wamevunja taratibu kupitiliza, wataonywa au kufungiwa kwa muda. Lengo letu kuu siku zote ni kulinda heshima na hadhi ya jukwaa letu kwa manufaa ya wote.
Jukwaa hili ni letu sote, na kuliweka salama ni jukumu letu sote. Tuendelee kushirikiana na kuhamasishana kujenga mijadala yenye afya na kuheshimiana bila kujali tofauti zetu za kimawazo.
Pamoja tunaweza kudumisha ubora wa JamiiForums!
Wasalaam,
Huyo GENTAMYCINE nadhani atakuwa na shida kwenye malezi yake.Hivi ni kwann Huwa mnajiamulia kufuta thread ya mtu bila kumpa taarifa au vinginevyo?huu sio udikteta ambao tunaupinga Kila siku enyi JF? halafu kuna watu wanatoa lugha chafu lakini unakuta ikitolewa report bado apewi Ban ,unakuta bado anaendelea kuporomosha matusi! Wengine humu ni vichaa kwaiyo akiripotiwa mara kwa mara inatakiwa apigwe Life Ban.. sikutegemea mtu kama GENTAMYCINE Hadi leo bado hajapigwa marufuku kutumia huu mtandao! ila pamoja na yote mnastahili pongezi pamoja nakupitia changamoto nyingi ila forum yenu imetusaidia sana sana.
Utoto unamsumbuaJamaa anamatusi yule utafikiri alizaliwa kinyumenyume
Ili ifike mara ngapi ndipo mchukue hatua?Mkuu,
Si mimi, yaani hata uniite MFIA DINI sina shida, naitetea haki yako ya kunifikiria upendavyo.
Umma ukiripoti kwa wingi kuwa unawakwaza, hatuna namna ya kulipitia bandiko
Kwenye post tano utakazokutana nazo za huyo jamaa, basi moja lazima iwe matusi.Nadhani hua wanaangalia mzani umekaaje km umemuanza au mmeanza hapo lazima wabalance mzani sio wanatoa adhabu tu
Kuna watu humu ni mabingwa wa kuwaanza wenzao halafu akiona vipi anatoa report, Napenda mijadala yenye tija km tunajadiliana jambo fulani basi tufikie muafaka
Ninafikiri kwamba Mods kabla hawajachukua maamuzi ya kutoa adhabu wanaangalia kilichoendelea ni nini nani kamuanza nani na nini kimetokea kabla ya kuripotiwa ndio wanakuja kutoa maamuzi,
Sometimes unakuta wewe unamuanza mwenyewe mtu vibaya halafu aki-react vibaya unaenda kum-report maana ya report ni km Max alivyoeleza wakikuta kuna maelezo yasiyokua na afya yanafutwa km kuna hatua nyingine za kinidhamu kwa member zitafuata kwa kuangalia na uzito wa kosa,
Niwe mkweli Mimi hata unifanye nini sina kawaida ya ku-report mtu niwe tu mkweli na muwazi unajua kwanini? kwa sababu najua nikireport nitakaem-report atafungiwa kutumia JF kwa muda fulani na mimi nikiangalia michango yake naihitaji; yaan sitaki afungiwe.
Na pia, hata kama tumekosana leo ninajua humu tunavyoishi tunaweza tukakosana leo kwenye uzi huu kesho tunacheka wote pamoja kwenye uzi mwingine unaweza kushangaa kwamba ni sisi sisi ambao jana hatukua vizuri tukapishana kimtazamo.
Kwa hiyo inatokea tu siku hio tumepishana vibaya basi lakini sio kwamba inakua kitu kibaya, sometimes nikiona mtu nimemuudhi naona ni vizuri kumuacha au kumwambia apunguze hasira zisizo na faida then namezea tu kiutu uzima au nikiona imezidi sana hua nabonyeza IGNORE then basi nakua na amani zaidi
ChaiKina GENTAMYCINE na Lucas Mwashambwa ndio wenyewe humu, hao wajuba ndio wana stimulate jukwa linachangamka.