Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Wanashida sana hawa jamaaHalina shida Ila amelitumia lama kivumishi cha wanazi wa dini
Wanashida sana hawa jamaaHalina shida Ila amelitumia lama kivumishi cha wanazi wa dini
Achana naoWanashida sana hawa jamaa
Hahahaha😂Maxence Melo sema nawaelewa hao warembo hapo ofisini😎😎 haswa huyo bonge bonge😍😍🤌🤌... Wadau msini report 😑😑
Wacha kusingizia Great Thinkers wa Jf bwana, huyo member ni one of them. I stand to be corrected!GENTAMYCINE nimemripoti mara kadhaa lakini sioni mkimshughulikia .
Ni bingwa wa matusi humu jukwaani.
Sijawahi andika Uzi lakini watu wengi hulalamika kufutiwa Uzi wao bila taarifa ya tatizo. Rekebisheni hapo.Hahaha, ila naomba tool itumike vema.
Naona Lucas Mwashambwa ameshakuwa reported several times na posts zake hazichukui sekunde
Noted and thank youWakuu,
Salamu nyingi kwenu, wanachama (wana JF) na wageni wote mnaotembelea JamiiForums! Tunayo furaha kubwa kuendelea kuwa nanyi katika jukwaa hili muhimu ambalo limekuwa kitovu cha fikra, maarifa, na uhuru wa kutoa maoni kwa staha.
Ili kuendelea kufurahia mijadala yenye tija na kuhakikisha kila mmoja wetu anakuwa katika mazingira salama, tunapenda kuwakumbusha mambo machache ya msingi:
Tunawashukuru kwa dhati kwa ushirikiano mnaoendelea kuuonyesha kila siku. Mchango wenu katika kuripoti machapisho yanayokiuka taratibu ndio unaoifanya JamiiForums iendelee kuwa sehemu safi, yenye amani, na inayoaminika na kila mtu. Usinukuu andiko na ku-tag moderators, unachelewesha maamuzi; saidia kwa kuripoti ujumbe husika.
- Matumizi ya Kitufe cha 'REPORT': Tunawaomba muwe mabalozi wazuri kwa kutumia kitufe cha 'REPORT' (Ripoti) kilichopo kwenye kila chapisho pale mnapokutana na maudhui yasiyofaa, lugha ya udhalilishaji, au ukiukwaji wowote wa kanuni za jukwaa. Hii ndiyo njia ya haraka na salama zaidi ya kutupa taarifa ili tuchukue hatua.
- Mchakato Wetu wa Usimamizi: Pindi mnaporipoti chapisho, bandiko husika linaondoka automatically na timu yetu ya wasimamizi (moderators) hupitia maudhui husika kwa umakini na weledi mkubwa. Kulingana na miongozo ya jukwaa letu, tunaweza kuchukua hatua za kurekebisha (edit) au kuondoa kabisa (remove) maudhui hayo. Wale wanaoonekana wamevunja taratibu kupitiliza, wataonywa au kufungiwa kwa muda. Lengo letu kuu siku zote ni kulinda heshima na hadhi ya jukwaa letu kwa manufaa ya wote.
Jukwaa hili ni letu sote, na kuliweka salama ni jukumu letu sote. Tuendelee kushirikiana na kuhamasishana kujenga mijadala yenye afya na kuheshimiana bila kujali tofauti zetu za kimawazo.
Pamoja tunaweza kudumisha ubora wa JamiiForums!
Wasalaam,
ChaiWacha kusingizia Great Thinkers wa Jf bwana, huyo member ni one of them. I stand to be corrected!
Hakuna mwenye uwezo wa kufuta post ya mwingine.. Ku report ni kupeleka taarifa kwa uoongozi ambao huangalia maudhui na sababu kisha huchukua uamuzinaomba kuelekezwa: maana yake kila mtu anaweza kufuta post ya mwenzake kwa kubonyeza report ? au ni hadi watu kadhaa wafanye hivyo kwa pamoja
Inabidi usome alichoandika ili kama kakubagaza uweze kum reportKingine bosi Maxence Melo boresheni option ya ignore pale mtu anatakiwa apigwe bloku msionane kabisa humu jukwaani sio mara unamuona anaeendelea kukukejeli tu
Huyo bonge bonge ni Ex wangu nakuripoti mkuuMaxence Melo sema nawaelewa hao warembo hapo ofisini😎😎 haswa huyo bonge bonge😍😍🤌🤌... Wadau msini report 😑😑
Mama mchungaji unaenda kuvuta nini?Ngoja nikavute kitu ili ukija tunapambana mwa-mwi🤒
Kingine nawapongeza sana uongozi wa jf now wapo fresh sana likitokea suala mtu kaandika miyeyusho now report zinafanyiwa kazi kwa haraka sana now wapo fresh sanaInabidi usome alichoandika ili kama kakubagaza uweze kum report
Oyaaah na kuna yule mmoja hivi aloo sio powaa😎😎Ofisini kuna " mitoto" ya maana pale asee... sijui mkuu Max kawatoa wapi wale.
Anyway tunaomba mrejesho wa hatua ya adhabu ya miezi mitatu ilipofikia, au masharti bado Ya kihuni kama ya bwana trump?
Huyo bonge bonge ni Ex wangu nakuripoti mkuu
Hahaha, ila naomba tool itumike vema.
Naona Lucas Mwashambwa ameshakuwa reported several times na posts zake hazichukui sekunde