Tanzania hakuna haki za binadamu. Watu wanaishi kwa hofu. Polisi,Mahakama,bunge,kote hakuna haki. Ni mwendo wa kuburuzwa tu.LHRC inatarajia kutoa taarifa ya hali ya haki za binadamu nchini kama sehemu ya kazi zake za kila siku.
Ili kufanikisha ubora wa taarifa hii tunaomba maoni yako ya dhati kuhusiana na mtazamo wako kuhusu hali ya haki za binadamu nchini.
Majibu ni ya siri (hayatahusishwa na jina lako) na yatatumika kwa ufanyaji tathmini na uchechemuzi.
Kushiriki kwenye tathmini hiyo bonyeza hapa👇👇
Tathmini Fupi Kuhusu Hali ya Haki za Binadamu Tanzania
Lengo: Kupata mitazamo na uzoefu wa wananchi kuhusu hali ya sasa ya haki za binadamu nchini Tanzania. Majibu ni ya siri (hayatahusishwa na jina lako) na yatatumika kwa ufanyaji tathmini na uchechemuzi.docs.google.com
Ili wapate ufadhili wa mabilioni na walipane mishahara wanategemea kura yako hapo.Nyie kila siku blah blah Tu. Hakuna hatua mnazochukua pamoja na matukio ya kutosha nchin
kwa maoni yangu na kwa hali ilivyo Tanzania,LHRC inatarajia kutoa taarifa ya hali ya haki za binadamu nchini kama sehemu ya kazi zake za kila siku.
Ili kufanikisha ubora wa taarifa hii tunaomba maoni yako ya dhati kuhusiana na mtazamo wako kuhusu hali ya haki za binadamu nchini.
Majibu ni ya siri (hayatahusishwa na jina lako) na yatatumika kwa ufanyaji tathmini na uchechemuzi.
Kushiriki kwenye tathmini hiyo bonyeza hapa👇👇
Tathmini Fupi Kuhusu Hali ya Haki za Binadamu Tanzania
Lengo: Kupata mitazamo na uzoefu wa wananchi kuhusu hali ya sasa ya haki za binadamu nchini Tanzania. Majibu ni ya siri (hayatahusishwa na jina lako) na yatatumika kwa ufanyaji tathmini na uchechemuzi.docs.google.com
Kwa hii nchi unaweza kuuliwa kweli kwenye hilo IgizoKwenye hiyo tamthilia mm ntacheza kama atakayeuawa kutokana na kukosekana haki za kibinadamu, hvy sitoonekana bali nitatajwa jina tuu kama mmoja kati ya waliouawa na system