Shirikisho kuna timu za mchongo sana, hawa Real Bamako tofauti yao na Mbeya city ni ushiriki wa shirikisho tu

kule ni kwa wakubwa bro siyo shirikisho kaa kwa utulivu, ni mbingu na ardhi.
Nilitaka nicheki akili yako kumbe imelala usingizi wa pono, ulishindwa nini kutoboa kwa wadogo shirikisho msimu ulioisha mpaka ukatumia na uchawi lakini ikashindikana?
 
kule ni kwa wakubwa bro siyo shirikisho kaa kwa utulivu, ni mbingu na ardhi.
Kama shirikisho ni pa kitoto basi msimu uliopita Simba mngefika hata nusu fainali lalini cha ajabu mkaona shughuli yake mpaka kufikia kuchoma moto viwanja vya watu.
 
Nilitaka nicheki akili yako kumbe imelala usingizi wa pono, ulishindwa nini kutoboa kwa wadogo shirikisho msimu ulioisha mpaka ukatumia na uchawi lakini ikashindikana?
Ndugu sina muda wa kubishana tambua ligi ya mabingwa na shirikisho vitu viwili tofauti usiforce tufanane.
 
Mbumbumbu hamna kitu, Bingwa wa Champion league Wydad Casablanca alitandikwa na RS Berkane bingwa wa shirikisho katika CAF super cup.
Kwani yana akili haya ma Mbumbumbu huyo Mazembe wanaesema amechoka kila waki kutana anawabaka
 
Lile ni kombe la looser mnalipamba lionekane kubwa yule nguruwe pori baada ya kuingiziwa mshahara wake.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Hivi sisi simba na yanga nani alituroga? Tunaleteana chuki zisizo na msingi.
 
Wagumu hao, ukitaka kujua hilo waulize Yanga na Wazembe Mazembe watakujibu
Sasa utasema Azam nao wagumu walitakiwa kuchukua kombe la Caf sabab nao Ni wagumu kwenu
 
Simba imecheza na Mashabiki full house na katandikwa Kwa Mkapa, Kule mmecheza na Horoya wakiwa na Mashabiki Hamsini tu na wamewatandika.
Mpira ni uwekezaji auchezwi mdomoni.
Uwepo wa mashabiki uwanjani unaonesha watu wa nchi husika wanajielewa na kuupenda mpira, hiyo ndio pointi ya msingi, sio kwenda kuwafunga watu wasio na habari na mpira halafu unashangilia🫣🫣.

Kujaza uwanja hakuwezi kuwa sababu ya kutofungwa, hata kule ulaya mashabiki hujaza viwanja na timu zao kufungwa pia.
 
Huna akili! Ushabiki umekujaa angalia hapa
 
Hata namungo ilikua ya mchongo
 
Kwaiyo wakiwa na habari na mpira ndio awafungwi? Vilaza vya Rage mnapenda sana kuokoteza visababu vya kijinga
 
Mbumbumbu hamna kitu, Bingwa wa Champion league Wydad Casablanca alitandikwa na RS Berkane bingwa wa shirikisho katika CAF super cup.
Msilazimishe tufanane nyinyi komaeni na shirikisho huko.
 
Sasa kama avifanani uko shirikisho mbona palikushinda? Kama umeshindwa kidogo ndo utaweza kikubwa? Hii akili yq wapi hii
Mko wawili hapa mnaumia sana Mnyama kucheza ligi ya mabingwa wakati nyinyi mnakipiga huko shirikisho huko ndiyo size yenu..
 
Ajabu timu inacheza hata mashabiki wa nyumbani kwao hawaendi kutazama mpira, majukwaa meupee.

Halafu eti mnawafunga hawa mnashangilia[emoji1787][emoji1787]
Mpira una maajabu yake... eti Mabingwa wa nchi wanaiwakilisha nchi kwenye ligi ya maluza, afu wasiokuwa mabingwa wa nchi wanaiwakilisha nchi kwenye ligi ya mabingwa....
 
Mko wawili hapa mnaumia sana Mnyama kucheza ligi ya mabingwa wakati nyinyi mnakipiga huko shirikisho huko ndiyo size yenu..
Mbona unakwepa swali ebu jibu swali kwanza, msimu uliopita ulicheza shirikisho kilichotokea kila mtu anajua, kama ni kombe dogo ulishindwa nini kutoboa kwenye hilo kombe dogo????
 
Kila siku nasema watanzania ni alama ya uchawi na ubaya wa kiutu, wangefungwa yanga mngesemaje.kubalini mtu akipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…