ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Hawa jamaa ni wa kukalia kimya tu wana tabia za kike kila kitu wanataka mashindano, ligi ya NBC imewashinda wamepigwa gape points 8 huko CAF kwenyewe wanakamilisha ratibaKwaiyo wakiwa na habari na mpira ndio awafungwi? Vilaza vya Rage mnapenda sana kuokoteza visababu vya kijinga