Hawa jamaa ni wa kukalia kimya tu wana tabia za kike kila kitu wanataka mashindano, ligi ya NBC imewashinda wamepigwa gape points 8 huko CAF kwenyewe wanakamilisha ratiba

Mpira una maajabu yake... eti Mabingwa wa nchi wanaiwakilisha nchi kwenye ligi ya maluza, afu wasiokuwa mabingwa wa nchi wanaiwakilisha nchi kwenye ligi ya mabingwa....