Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wangetangaza vazi linaloruhusiwa hapouwanjani kwa upande wa wanawake...Safi.... Wanawake hawaendi kuangalia mpira bali kutangaza biashara zao..
Kwani wewe huwa wavaa vijora huku uwanjaniMtihani sana.
Kwani hawana nguo zaidi ya vijora? Vijora ni vazi la kuvaanele za watu? Tena mnayavaa bila chupi...Wangetangaza vazi linaloruhusiwa uwanjani kwa upande wa wanawake...
Au kuwapiga stop kabisa wasikanyage naona wanaruka mkojo...
Hata sijui vinasura gani hivyo viwanja vya mpira...😅Kwani wewe huwa wavaa vijora huku uwanjani
Waweke vazi elekezi...Kwani hawana nguo zaidi ya vijora? Vijora ni vazi la kuvaanele za watu? Tena mnayavaa bila chupi...
Vazi elekezi vaa nguo inayokustili mbele za watu!!.Waweke vazi elekezi...
Siasa..Vazi elekezi vaa nguo inayokustili mbele za watu!!.
Wajua tu kiwanja cha ndaniHata sijui vinasura gani hivyo viwanja vya mpira...😅
Hapo sasa. Badala wapige marufuku ushoga ulioenea kila mahala huko kwao, wanakuja kupiga marufuku vitu visivyo na madhara.Halafu ni maarufu kwa ushoga