Shirikisho la mpira wa miguu Zanzibar (ZFF) lapiga marufuku Vijora Uwanjani

Ukiwasikia watu wa dini ila sasa wanaongoza kwa kuliwa tope
 
Kijora ni vazi rasmi kwa wadada wengi hapa Dar es Salaam na Zanzibar, sasa wanazuia ili iweje?
 
Safi sana na pongezi kwa ZFF.
Vijora na madela ni mavazi ya heshima lakini wanaoyavaa siku hizi wanayashikilia na kuyanyanyua mpaka unaona paja na wakati mwingine mpaka pichu.
 
Kijora ni vazi rasmi kwa wadada wengi hapa Dar es Salaam na Zanzibar, sasa wanazuia ili iweje?
Tunaenda kuangalia fainali siyo misambwanda iliyowazi.
Waende kitambaa cheupe ndo kwenye hiyo biashara.
 
Sasa itakuaje, wakishaandaa khanga moko, lako si pesa, kijora bila nyashi ni kama....
Watani poleni, mmeyakanyaga huko kwa waliowapa jina la madunduka.
Aione mrembo wangu Kalpana 😅
 
Shida ni vijora au maumbile ya mtu Bora mseme wanawake wenye shape zao marufuku kuvaa vijora maana Kuna vimbau mbau wakivaa hivyo vijora hata havishtui moyo kabisa.

Mm naona mnalionea bure Hilo vazi la kijora je wakivaa tight na tisheti/top inaruhusiwa?
 

kwa kweli huwa wanakurupuka sana
 
Sasa itakuaje, wakishaandaa khanga moko, lako si pesa, kijora bila nyashi ni kama....
Watani poleni, mmeyakanyaga huko kwa waliowapa jina la madunduka.
Aione mrembo wangu Kalpana 😅
Kwanza vijora ni vya watu wa pwani na waswazi mie na kijora wapi na wapi mrembo wangu jamani?? Hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…