Shirikisho la soka barani Afrika kuweni macho mechi ya Taifa Stars vs Uganda

Nimewaza hawa Cape Verde wakiona stars wanawafunga Uganda kirahisi...kuna possibility ya kuwaachia Lesotho..hivyo waganda wafungwe dakika za mwisho .
Wakati huo kule matokeo C Verde 4 vs Lesotho 0
 

hivi kwanini home and away wasinge chezesha draw
 
Nimewaza hawa Cape Verde wakiona stars wanawafunga Uganda kirahisi...kuna possibility ya kuwaachia Lesotho..hivyo waganda wafungwe dakika za mwisho .
Wakati huo kule matokeo C Verde 4 vs Lesotho 0
Watakuwa wajinga, uganda wakisawazisha jioni.
Mechi zinachezwa muda mmoja.
 
Wana ufipa bhana, mnahangaika sana kuhusu mafanikio ya hiii nchi. Sijui mnataka tubaki nyuma nyuma ili muendelee kusifia matukio.
 
Mleta mada ni mbumbumbu kabisa.....akili zako zinakutosha kweli?yaani wewe ni mkamilifu kiasi gani mpaka unaanza kufikiria upumbavu kama huu?kama huna hoja lala na mkeo roho yako iridhike....VIVA TAIFA STARS!1
 
Muhimu Tz ifuzu hayo mengine baadae.
 
Reactions: Tui
Nina wasiwasi na mechi hii inaweza kusababisha Tanzania kufungiwa kucheza soka.
Am sure CAF watakuwa wameshapata viashiria vyote..

Ndio shida kukabidhi majukumu kwa mtu ambae kwanza hakubaliki katika jamii kutokana na uchafu wa matendo yake..

Maana rc kashaonyesha kila aina ya tambo..

Ameshajisahau kwamba Lesotho akipata ushindi wowote dhidi ya Cape Verde, Tanzania hata ishinde ngapi hawata qualify.
 
Write your reply...
yaani kama mi ndo ningekuwa jiwe ningewatuma wasiojulikana kama kumi hivi wakumiminie shaba kama zote,maana huna faida
 
Wewe unayejifanya mtanzania ndio sio kwani hujui kwamba mechi ya simba kufuzu bado inafukuta kwa kashfa,watu wengine sijui mnafikiri kwa kutumia nn dah.
Kwa hiyo hata simba alihonga au hata stars kule uganda walihonga ili wapate sare.
Huna hoja nzuri.Uganda ni wazuri sana lakini game kama hiyo stars nao wako vizuri.
Nahisi pia utakuwa siyo mbongo wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…