We jamaa nawe kiazi tu, unajua kwanini timu inaanzia nyumbani na nyingine ugenini? Kwa taarifa yako washindi wa pili wa kila kundi wanaanzi home wale wa kwanza wanaanzia ugeniniyeah mtoa hoja unaonekana unawaamini sana hawa CAF wakati wao ndio wapenda rushwa kupita kiasi,ngoja nikupe mfano hai mmoja uliotokea wakati huu,Cameroun wanaondolewa kuandaa fainal za mataifa na Misri wanapewa wakati maandalizi yao na uwezo wao haufikii na nusu ya SA,ANGALIA UPANGAJI WA ROBO FAINAL ZA VILABU ,vilabu vya soka vyote kutoka north Africa vitacheza mechi za marudioano nyumbani(hii kwa Africa ni advantage kubwa,achilia hii game ya samba na tp mazembe zingine zote kwa vilabu chini ya sahara vitamalizia second round ugenini na sioni vikifanikiwa hapa)ni wakati wa nchi zilizo chini ya jangwa la sahara kudai haki zaidi kuliko nchi za north Africa .
Tulia wewe, wacha uchawi na unoko,Ndugu watanzania,
Ninaliomba shirikisho la soko barani africa kuitupia macho mechi kati ya Taifa stars vs uganda kwani kuna viashiria vya rushwa katika mechi hii,
Ninasema hivi kwa sababu kuu zifuatazo;
1.Uganda tayari imeshafuzu hata kama ikifungwa mechi hii kwa hiyo wanacheza mechi hii kama kukamilisha ratiba yao na pia wao wana uwezo wa kumbeba wamtakaye kutokana na wao kufuzu mapema kabla ya mechi hii.
2.Kwa jinsi mechi hii inavyotangazwa kisiasa inaonesha kunaweza kuwepo kwa makubaliano ili uganda waichie tanzania ipite ili ionekane tanzania kuweka historia ktk kipindi hiki cha magufuli ionekane kuwa ccm imeimarisha michezo na hatimaye imeandikwa historia kumbukeni mechi ya simba kufuzu hatua ya makundi tayari wao ccm wameieneza km sehemu yao ya kampeni sababu kwa sasa ccm hawana sera hivyo kazima watapetape.
Ndio maana TFF wakaingiza siasa kwenye mpira kwa kuanza na sakata la tundu lisu na baadae kuona makonda anafaa uhamasishaji timu ya taifa hizo zote ni siasa tu.
3.Ya mwisho ni kuona kwa jinsi gani maraisi wawili wanavyoweza kusaidiana kwenye hili ikizingatiwa ni marafiki na wote wanapenda sifa,wenye akili wameniekewa.
Cha msingi ninawaomba CAF waiangalie mechi hii kwa makini wakianzia kwenye maandalizi ya mechi hiyo.
Yangu ni hayo mimi ni mzalendo na ninapenda haki.
Swelana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lethoto yupo nyumbani au ugenini????Ni upuzi tu uliopo hapo Lesotho akishinda mechi yake Tanzania hata ishinde goli 10 haiendi kokote
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah, wanamuita Kichwa cha Mwendawazimu, ila Ndio think tank wa UVCCM huyuHuyu kule Bavicha wanamwita Kichwa...
Ndio lakini macho Na masikio TaifaWatakuwa wajinga, uganda wakisawazisha jioni.
Mechi zinachezwa muda mmoja.
Wewe unatakaje?Ndugu watanzania,
Ninaliomba shirikisho la soko barani africa kuitupia macho mechi kati ya Taifa stars vs uganda kwani kuna viashiria vya rushwa katika mechi hii,
Ninasema hivi kwa sababu kuu zifuatazo;
1.Uganda tayari imeshafuzu hata kama ikifungwa mechi hii kwa hiyo wanacheza mechi hii kama kukamilisha ratiba yao na pia wao wana uwezo wa kumbeba wamtakaye kutokana na wao kufuzu mapema kabla ya mechi hii.
2.Kwa jinsi mechi hii inavyotangazwa kisiasa inaonesha kunaweza kuwepo kwa makubaliano ili uganda waichie tanzania ipite ili ionekane tanzania kuweka historia ktk kipindi hiki cha magufuli ionekane kuwa ccm imeimarisha michezo na hatimaye imeandikwa historia kumbukeni mechi ya simba kufuzu hatua ya makundi tayari wao ccm wameieneza km sehemu yao ya kampeni sababu kwa sasa ccm hawana sera hivyo kazima watapetape.
Ndio maana TFF wakaingiza siasa kwenye mpira kwa kuanza na sakata la tundu lisu na baadae kuona makonda anafaa uhamasishaji timu ya taifa hizo zote ni siasa tu.
3.Ya mwisho ni kuona kwa jinsi gani maraisi wawili wanavyoweza kusaidiana kwenye hili ikizingatiwa ni marafiki na wote wanapenda sifa,wenye akili wameniekewa.
Cha msingi ninawaomba CAF waiangalie mechi hii kwa makini wakianzia kwenye maandalizi ya mechi hiyo.
Yangu ni hayo mimi ni mzalendo na ninapenda haki.
Swelana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ama kweli mchawi wa mafanikio ya Tanzania na watanzania ni mtanzania mwenyewe.Ndugu watanzania,

Ulitaka kusema kitu lakini kwa upumbavu huu uliouonyesha, basi huna tofauti na wale waliotetewa na mahakama ya kenya majuzi.Ndugu watanzania,
Ninaliomba shirikisho la soko barani africa kuitupia macho mechi kati ya Taifa stars vs uganda kwani kuna viashiria vya rushwa katika mechi hii,
Ninasema hivi kwa sababu kuu zifuatazo;
1.Uganda tayari imeshafuzu hata kama ikifungwa mechi hii kwa hiyo wanacheza mechi hii kama kukamilisha ratiba yao na pia wao wana uwezo wa kumbeba wamtakaye kutokana na wao kufuzu mapema kabla ya mechi hii.
2.Kwa jinsi mechi hii inavyotangazwa kisiasa inaonesha kunaweza kuwepo kwa makubaliano ili uganda waichie tanzania ipite ili ionekane tanzania kuweka historia ktk kipindi hiki cha magufuli ionekane kuwa ccm imeimarisha michezo na hatimaye imeandikwa historia kumbukeni mechi ya simba kufuzu hatua ya makundi tayari wao ccm wameieneza km sehemu yao ya kampeni sababu kwa sasa ccm hawana sera hivyo kazima watapetape.
Ndio maana TFF wakaingiza siasa kwenye mpira kwa kuanza na sakata la tundu lisu na baadae kuona makonda anafaa uhamasishaji timu ya taifa hizo zote ni siasa tu.
3.Ya mwisho ni kuona kwa jinsi gani maraisi wawili wanavyoweza kusaidiana kwenye hili ikizingatiwa ni marafiki na wote wanapenda sifa,wenye akili wameniekewa.
Cha msingi ninawaomba CAF waiangalie mechi hii kwa makini wakianzia kwenye maandalizi ya mechi hiyo.
Yangu ni hayo mimi ni mzalendo na ninapenda haki.
Swelana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pumbavu[emoji86] [emoji86] [emoji86]Am sure CAF watakuwa wameshapata viashiria vyote..
Ndio shida kukabidhi majukumu kwa mtu ambae kwanza hakubaliki katika jamii kutokana na uchafu wa matendo yake..
Maana rc kashaonyesha kila aina ya tambo..
Ameshajisahau kwamba Lesotho akipata ushindi wowote dhidi ya Cape Verde, Tanzania hata ishinde ngapi hawata qualify.
We jamaa ndo umeua kabisa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kwa hiyo mnashaurije? Tusicheze nao au!
Na huu ndio ukweli mchungu ambao wengi hawaujui..Ni upuzi tu uliopo hapo Lesotho akishinda mechi yake Tanzania hata ishinde goli 10 haiendi kokote
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa imeingia mahala pake..hahahaha
Ni heri kutofuzu lakini mkabaki mashindanoni miaka ijayo kuliko kufuzu na kutimuliwaWatanzania sijui nani katulaani, mleta mada hebu jitafakari na ulichokileta hapa. Yaani hata vijana wetu wa Taifa Stars wakifanya jitihada na wakashinda, itakuwa umeshawaharibia jitihada yao, kwa kuichanganya na uchochezi wako wa ushabiki wa kisiasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi lile ndombolo uliloahidi lilishia wapi?
Ugenini.