Shirikisho la soka barani Afrika kuweni macho mechi ya Taifa Stars vs Uganda

Ehhh wacha wee kwa hyo samagoal alivomnawisha mtu pale ile ilikua ni showgame tu unataka kutuambia walishapanga mdaaa
Aibuuuuuuu yako
Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ni msaliti!
 
Jamani acheni huu upumbavu unatushushia hadhi kwenye ulimwengu wa soka. Yani kuna wajinga wanaweza kusema Taifa stars imebebwa kweli?? hebu tuwe wamoja kwenye ishu za kitaifa siasa zetu zisiharibu mafanikio na jasho la wachezaji wetu
 
Kuna kundi linapinga kila kitu, mtu mwingine yupo hapa hapa Tanzania ila ukimuambia leo ni siku ya jumapili atapinga
 
Kuna kundi linapinga kila kitu, mtu mwingine yupo hapa hapa Tanzania ila ukimuambia leo ni siku ya jumapili atapinga
Hatutakaa tuendelee kwa mpango huu aisee. Vijana wamejitahidi wamecheza kufa na kupona. Kama ingekua imepangwa yule kocha wa Ug angekua amepoa kwa kiti anasubiria mechi iishe na ndo maana alimtoa okwi akijua maybe okwi ana aside na tz
 
Kilaza mfawidhi
 
Wewe mchawi kaliwe Tigo
 
duh watu wako sooo negative ,kazi ipo kwa uwazaji wa namna hii tena kwa taifa lako mwenyewe , hawa ndo wale wanaokua na mentality za kubebwa kwenye kila kona ya maisha hata uwezo wake yeye mwenyewe hauamini
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…