Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia wewe, wacha uchawi na unoko,
lile Bomba la Hoima halijapita kwetu bure bure. Muungano wa East Africa uzidi kudumu na kwa taarifa yako tu Mu7 ashawahi kuishi Bongo mpaka akakiri kua ashafanya sana magendo ya silaha. Na kwa kumalizia Palamagamba Kabudi mzee wa Saundi Mingi hajawekwa pale Wizarani kwa bahati mbaya. Okwi na Murshid wenyewe wanaenda Chooni sababu ya Tanzania.
Ki msingi Hii mechi ishachezwa nje ya uwanja kitambo tu, Uwanjani tunaingia kama formality tu.
Nyie hangaikeni weee,kesho naenda zangu Cape Verde kuishangilia Timu yangu Lesotho.
Sent using Jamii Forums mobile app
We ni msaliti!Ndugu watanzania,
Ninaliomba shirikisho la soko barani africa kuitupia macho mechi kati ya Taifa stars vs uganda kwani kuna viashiria vya rushwa katika mechi hii,
Ninasema hivi kwa sababu kuu zifuatazo;
1.Uganda tayari imeshafuzu hata kama ikifungwa mechi hii kwa hiyo wanacheza mechi hii kama kukamilisha ratiba yao na pia wao wana uwezo wa kumbeba wamtakaye kutokana na wao kufuzu mapema kabla ya mechi hii.
2.Kwa jinsi mechi hii inavyotangazwa kisiasa inaonesha kunaweza kuwepo kwa makubaliano ili uganda waichie tanzania ipite ili ionekane tanzania kuweka historia ktk kipindi hiki cha magufuli ionekane kuwa ccm imeimarisha michezo na hatimaye imeandikwa historia kumbukeni mechi ya simba kufuzu hatua ya makundi tayari wao ccm wameieneza km sehemu yao ya kampeni sababu kwa sasa ccm hawana sera hivyo kazima watapetape.
Ndio maana TFF wakaingiza siasa kwenye mpira kwa kuanza na sakata la tundu lisu na baadae kuona makonda anafaa uhamasishaji timu ya taifa hizo zote ni siasa tu.
3.Ya mwisho ni kuona kwa jinsi gani maraisi wawili wanavyoweza kusaidiana kwenye hili ikizingatiwa ni marafiki na wote wanapenda sifa,wenye akili wameniekewa.
Cha msingi ninawaomba CAF waiangalie mechi hii kwa makini wakianzia kwenye maandalizi ya mechi hiyo.
Yangu ni hayo mimi ni mzalendo na ninapenda haki.
Swelana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kundi linapinga kila kitu, mtu mwingine yupo hapa hapa Tanzania ila ukimuambia leo ni siku ya jumapili atapingaJamani acheni huu upumbavu unatushushia hadhi kwenye ulimwengu wa soka. Yani kuna wajinga wanaweza kusema Taifa stars imebebwa kweli?? hebu tuwe wamoja kwenye ishu za kitaifa siasa zetu zisiharibu mafanikio na jasho la wachezaji wetu
Hatutakaa tuendelee kwa mpango huu aisee. Vijana wamejitahidi wamecheza kufa na kupona. Kama ingekua imepangwa yule kocha wa Ug angekua amepoa kwa kiti anasubiria mechi iishe na ndo maana alimtoa okwi akijua maybe okwi ana aside na tzKuna kundi linapinga kila kitu, mtu mwingine yupo hapa hapa Tanzania ila ukimuambia leo ni siku ya jumapili atapinga
Kilaza mfawidhiNdugu watanzania,
Ninaliomba shirikisho la soko barani africa kuitupia macho mechi kati ya Taifa stars vs uganda kwani kuna viashiria vya rushwa katika mechi hii,
Ninasema hivi kwa sababu kuu zifuatazo;
1.Uganda tayari imeshafuzu hata kama ikifungwa mechi hii kwa hiyo wanacheza mechi hii kama kukamilisha ratiba yao na pia wao wana uwezo wa kumbeba wamtakaye kutokana na wao kufuzu mapema kabla ya mechi hii.
2.Kwa jinsi mechi hii inavyotangazwa kisiasa inaonesha kunaweza kuwepo kwa makubaliano ili uganda waichie tanzania ipite ili ionekane tanzania kuweka historia ktk kipindi hiki cha magufuli ionekane kuwa ccm imeimarisha michezo na hatimaye imeandikwa historia kumbukeni mechi ya simba kufuzu hatua ya makundi tayari wao ccm wameieneza km sehemu yao ya kampeni sababu kwa sasa ccm hawana sera hivyo kazima watapetape.
Ndio maana TFF wakaingiza siasa kwenye mpira kwa kuanza na sakata la tundu lisu na baadae kuona makonda anafaa uhamasishaji timu ya taifa hizo zote ni siasa tu.
3.Ya mwisho ni kuona kwa jinsi gani maraisi wawili wanavyoweza kusaidiana kwenye hili ikizingatiwa ni marafiki na wote wanapenda sifa,wenye akili wameniekewa.
Cha msingi ninawaomba CAF waiangalie mechi hii kwa makini wakianzia kwenye maandalizi ya mechi hiyo.
Yangu ni hayo mimi ni mzalendo na ninapenda haki.
Swelana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mchawi kaliwe TigoNdugu watanzania,