Zirconium
Senior Member
- Feb 1, 2025
- 196
- 254
Mwamuzi kutoka somalia Omar Artan ( 34 yrs) baada ya kukataliwa kuingia Marekani Kuchezesha kombe la Dunia 2026 , kuchezesha Uefa Super Cup kati ya Paris. Saint German PSG VS Aston Villa
Usiache kamwe kuota ndoto yako .” ✨
🇸🇴🏆 Kutoka Somalia hadi kwenye UEFA Super Cup, Omar Artan anaendelea kuweka historia mpya.
Akiwa mwamuzi wa kwanza asiye Mzungu ( mwafrika) kuteuliwa kuongoza mchezo wa Super Cup, Omar amethibitisha kwamba tamaa, imani na kufanya kazi kwa bidii vinaweza kumfikisha mtu popote.
“Nilikuwa na bahati, lakini nimefanya kazi kwa bidii ili kufika hapa, na ninajivunia sana.” Amesema Omar Artan
Ndye Refa bora barani africa kwa sasa akifatiwa na Jacques Ndala toka DRC
Ndiye Refa wa kwanza kutoka somalia kuchezesha fainali ya Ligi ya mabingwa africa kati ya pyramids vs Mamelodi
Kamwe tusikate tamaaa