Shirikisho la soka nchini Senegal limezindua sanamu kumuenzi mwanasoka wa taifa hilo Sadio Mane, mjini Bambali alikozaliwa!

Kweli waafrika ni nyani aisee, yaani sikio limejaa taya nzima, macho kama vile limepigwa butwaa, Mdomo wenyewe wa kijivu, miguu ni mirefu kama ya mbuni... Au walitaka wachonge sanamu la Goliath?
 
Afadhali hao wamejaribu sisi huku hatuna chochote tulicho jaribu ktk kuwaenzi wachezaji wetu walao ilete chachu kwa hawa wanaochipukia ktk tasnia ya michezo nchini. Kujaribu ni bora kuliko kutokujaribu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ